KAMA UTAENDA KUNUNUA DADA POA, ZINGATIA HAYA.
Anaandika Robert HERIEL
Yule Mtibeli, Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Mambo haya pengine niya aibu, pengine hayasemeki kwa urahisi, tena hayafurahishi kuonekana hadharani.
Lakini Mimi Taikon nitayasema Kwa uchache Kwa Nia ya kujenga. Na wala sikusudii...