kunyongwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Corluka Neven

    Aliyehukumiwa kunyongwa

    Hamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu. 1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa 10 Usiku ndiyo akaanza Kujuta na Kujiona akiandamwa na Kesi ya Mauaji sasa akawa anataka kujinasua...
  2. ngara23

    Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

    Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo. Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi kusaini hati ya kunyonga😅😃 yaani mwanasiasa anayemuuwa mpinzani, mpiga kelele tu aone huruma kusaini...
  3. Pascal_TZA

    Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
  4. Chakaza

    Natamani sana andiko hili la hukumu ya Afande Bageni lisomwe vituo vya Polisi na Makazi yao kwenye Paredi

    (Ameandika Malisa G. ) SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo...
  5. Pascal Mayalla

    Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!

    Wanabodi Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!. Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
  6. JanguKamaJangu

    Nigeria: Watu watano wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mwanamke waliyedai ni Mchawi

    Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft. The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death. Ms Abubakar's family went to the authorities...
  7. Mwanongwa

    Mbeya: Wawili wahukumiwa kunyongwa Hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imewahukumu kunyongwa hadi kufa Emanuel Patson Mwesya [24] na David Saimon Mwalindu [25] wote wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoa wa Songwe baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la mauaji walilolifanya kwa kumuua Lufingo Asumwisye [37] aliyekuwa Mkazi wa Kijiji cha...
  8. J

    Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

    Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo Source Mwananchi Mlale unono 😃
  9. Mzee Saliboko

    Naomba ufafanuzi kuhusu adhabu ya kunyongwa

    Naomba ufafanuzi hukumu huwa ni kunyongwa hadi kufa au kunyongwa tu. Je, mtu akihukumiwa kunyongwa kuna uwezekano wa kupona tofauti na aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa? Na huzikwaje?
  10. julfox

    Sativa: Kisa cha kutekwa na kuteswa

    Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari. Sativa ni kijana maarufu anayejulikana kwa kupenda michezo ya kamari. Usiku mmoja, huku akicheka na marafiki zake na akifurahia...
  11. M

    Kuna haja ya Tanzania kupitisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa watuhumiwa wa vitendo vya kikatili

    Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya binadamu(Mganga aliyepatikana na miili ya watu aliowazika hai), watu kupotea katika mazingira tatanishi...
  12. J

    Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

    Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa...
  13. Abdul Said Naumanga

    Kilimanjaro: Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Kibosho Kirima -Titus Kimaro

    Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa watatu, Ibrahim Abubakar, Salima Abubakar, na Hadija Shio, ambao walikutwa na hatia ya kumuua kikatili aliyekuwa mjumbe wa nyumba kumi huko Kibosho Kirima, Moshi - Kilimanjaro, Mrh. Titus Sebastian Kimaro...
  14. O

    Aliyemuua mtoto wake kwa kutofanana naye ahukumiwa kunyongwa

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/aliyemuua-mtoto-wake-kwa-kutofanana-naye-ahukumiwa-kunyongwa-4663540 Credit: Mwananchi
  15. ndege JOHN

    Mwanamama billionea ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la utakatishaji hela $44 billion

    Anaitwa truong my Lan umri ni miaka 67 Tajiri wa ki Vietnam amepatikana na hatua ya kutakatisha hela kwenye Bank moja kubwa Kwa zaidi ya miaka 11.ila nimeshindwa kujua hasa alifanya fraud kivipi Kwa maana hiyo hela aliichukua kama mikopo. Kesi hio Ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba ilihusisha...
  16. Mjanja M1

    Ahukumiwa kunyongwa kwa kuua watu saba wa familia moja

    Mahakama Kuu kanda ya Kigoma imemuhukumu Mkazi wa Mlole, Kigoma Ujiji Peter Moris Mwandelema (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya Watu saba wa familia moja. ( sita usiku mmoja na mmoja alifariki baadae ) Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Kigoma Agostine Rwizile...
  17. Poppy Hatonn

    Napinga Masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa

    Nimepita pale mahakamani jana nikamuona yule mama Analia,nikauliza,"Huyu analia nini?". Najua jambo kama lile siyo ajabu, lakini bado nikauliza,"Huyu analia nini?" Nikaambiwa,unajua, hii ni mahakama na yule mama ukimuona analia, basi, labda itakuwa mtoto wake amehukumiwa kifungo. Wakamwambia...
  18. Roving Journalist

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha. Masheikh hao...
  19. Jaji Mfawidhi

    Katekista Katoliki ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Mlei

    ONYO: Mauaji haya ya watumishi wa madhabahuni yasihusishwe na dini yeyote ile, huu ni utashi wa mtu, japo sijasikia huko TAG wakiuana ama kubaka watoto> Mahakama kuu kanda ya Iringa iliyofanya kikao chake mkoani Njombe imemhukumu kunyongwa hadi kufa Daniel Philipo Mwelango miaka (42),katekista...
  20. GENTAMYCINE

    Napendekeza kutungwe Sheria Kali ya Kunyongwa hadharani Viongozi Waandamizi Wanaowadanganya wazi wazi Watanzania

    Kwa mfano kukitokea Kiongozi Mwandamizi yoyote akatudanganya Watanzania Kimakusudi kuwa Kiongozi fulani Hajafa au Haumwi na mzima wa Afya anaendelea na Majukumu yake Ofisini huyu GENTAMYCINE sipendekezi tu aishiye Kunyongwa hadharani bali kama ni Mwanaume basi Ahasiwe kabisa na akiwa ni Mwanamke...
Back
Top Bottom