Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopewa mamlaka ya ziada mkoani Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Abuutwalib Seif (34) Mkazi wa Igumbilo, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumtupa mtoto wake Khadija Seif (5) mto wa Ruaha. Mtoto alikuwa ni mlemavu wa viungo.
Akisoma kesi hiyo jana Hakimu...
Watuhumiwa 11 wamehukimwa na Mahakama kuu ya Tanzania kwa kumuua Wayne Lotter.
Ingawa mfadhili kuu wa kesi hii alikuwa Mchina , bado haijajulikana hakukamatwa au alikamatwa akawa deported. Mwingine Fahmi Karama alikamatwa lakini haijulikani yupo wapi, hata kwenye kesi hakuletwa Kama...
Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo.
Mwanaharakati wa ujangili na raia wa Afrika Kusini, Wayne Derek Lotter aliuawa Agosti 16, 2017 kwa kupigwa risasi akiwa kwenye Taxi...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo.
Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu".
Hata hivyo maandamano yako pale pale.
Acourt in Iran has issued the first death sentence to a person arrested for taking part in the protests that have engulfed the country, state media...
Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
Rais anajua nini kuhusu masuala ya sheria na adhabu? Rais anataka kuonekana mwema kwa raia wake, na rais anayenyonga hawezi angaliwa vizuri sana. So rais anayejielewa hawezi kunyonga mtu. Kwanini mahakama ikisema isiwe mwisho kama zilivyo adhabu nyingine?
Kuna ulazima gani wa Rais kupitisha...
Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni.
Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake.
Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora.
Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua mume wa mwenye Ualbino wakati akimtetea mkewe kukatwa mkono kutokana...
Tabora. Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora.
Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua mume wa mwenye Ualbino wakati akimtetea mkewe kukatwa mkono...
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu washtakiwa wanne kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua askari wawili wa Jeshi la Polisi Kituo cha Usoke, wilayani Urambo mkoani Tabora.
Hukumu hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 16, 2022 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Tabora...
Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani.
“Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu bila kuona hata jua na baadhi wamefikia hatua ya kuchanganyikiwa kutokana na msongo wa mawazo,”...
Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake
Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa iliyokaa kikao chake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imewahukumu washtakiwa watatu Elias Jackson Mwenda (31), Hussein Khamis (31) na Orestus Mbawala (51) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya James Kaengesa mkazi wa Makambako...
Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini.
Inadaiwa...
Mahakamani Kuu Kanda ya Musoma kupitia Mahakama ya Wilaya Tarime Mkoani Mara imewahukumu baba na mtoto wake wa Kijiji cha Genkuru kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji.
Waliohukumiwa ni Matinde Keranganyi (baba) na Mwita Matinde (mtoto) ambao walishtakiwa kwa kumpiga mawe...
Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne). Kati ya hao 959, wnajeshi 80 walikuwa wamejeruhiwa na kati yao 51 walipelekwa hospitali iliyo chini ya...
Ripoti imetolewa leo Aprili 28, 2022 ambapo imefahamika kuwa adhabu ya kifo Nchini Iran imeongezeka kwa asilimia 25 ndani ya mwaka 2021.
Katika idadi ya waliohukumiwa wamo pia wanawake 17 pamoja na walioshitakiwa kwa kesi za madawa ya kulevya
Mashirika ya Haki za binaadamu IHR na ECPM ya...
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mtu mmoja aitwaye Kinyota Kabwe mkazi wa Muzye wilayani Kasulu kwa kosa la kumuua kwa makusudi jirani yake kwa kumchoma mkuki mara tatu na kusingizia alikuwa amechanganyikiwa.
Kesi hiyo namba 105 ya Jamhuri dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.