kunywa pombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi kunywa pombe ni dhambi?

    Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo. Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana. Nikawaitikia ila...
  2. Kwa mujibu wa Biblia, ni dhambi au si dhambi kwa Mkristo kunywa pombe?

    Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66. Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote. Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi...
  3. K

    Natafuta Mwanasaikolojia, nina msongo wa mawazo. Nahisi kujiua, kuvuta bangi, kunywa pombe vitu ambavyo sijawahi kutumia

    Habari, Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa. Nipo kKgamboni naomba mnisaidie Pm kuko wazi. Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
  4. Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
  5. G

    Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

    Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani. Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
  6. Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  7. Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula

    Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali inakuhusu hii. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula kwani huchangia mnywaji kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili au kuharibu kuta za utumbo...
  8. Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  9. U

    Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  10. Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  11. C

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
  12. Napenda ngono ila nimegundua haina faida kwenye michongo ya kupata pesa afadhari kunywa pombe

    Pamoja na kwamba mapenzi ni raha na ngono ni tamu, ila realistically speaking haina faida yoyote kipesa, mpaka sasa ukweli ni kwamba ngono ni miyeyusho sana bora kwenye pombe kuna michongo ya kupata pesa. Naendelea kutafakari angalau nibaki na mademu wanne tu. 💯💯💯
  13. Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

    Nahisi kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia. Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kwenye fridge, yaani ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados. Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia...
  14. Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
  15. Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

    "Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari. Katika Pombe...
  16. Kwanini baadhi ya wazazi wa kikristo hawapendi watoto wao kuanza kunywa pombe ?

    Kijana kamaliza form 4 yupo likizo anasubiri kwenda chuo mwezi wa 10, wazazi wake ni washika dini kila jumapili kanisani ila cha ajabu wanamgombeza kijana wao kisa tu chumbani kwake kuna chupa za bia, kwenye pipa la taka huwa kuna vichupa vya pombe kali, mara mbilj pia kijana amewahi kufatwa...
  17. Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
  18. Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  19. Wanaume wa Dar mnapenda kunywa pombe laini.

    Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light. Acheni kunywa pombe za wadada bana
  20. Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

    Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty. Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa. Ila problem ninayookabiliana nayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…