kunywa pombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Watu 22 wafariki nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu

    Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu. Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku. Katika tukio hilo wanaume katika wilaya ya Saran walianza...
  2. JanguKamaJangu

    Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
  3. The Sunk Cost Fallacy

    Mchango wa Walevi kwenye Uchumi; Japan yatoa wito kwa Vijana kunywa zaidi pombe ili kukuza Uchumi

    Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan.. Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe.. Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao sijui wataficha wapi sura zao.👇 -- Takwimu za hivi majuzi kutoka kwa wakala wa ushuru zinaonyesha...
  4. Saad30

    Pombe ni Ndugu wa madeni

    Salamu wakuu. Kwanza namshukuru Mungu mmoja kwa imani yangu kunijalia afya na pia kunifanya niwe mbali na pombe yaani kunywa pombe. Kimaisha nashukuru hapa nilipofika lakini bado safari ni ndefu japo kuwa umri wangu bado kijana sana. Mimi nilikuwa mnywaji wa pombe mzuri sana nilianza na...
  5. Mwasapile

    Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

    Nina swali! Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani? Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika. Na...
Back
Top Bottom