Pombe na sigara ni kati ya bidhaa zinazoingizia nchi hela nyingi kwa njia ya kodi. Ingawa ni bidhaa iileteayo Serikali ukwasi mkubwa, ina madharabhasi kwa baadhi ya watu hasa masikini.
Ilishawahi kutokea, na hata sasa hali inaweza ikawa hivyo kwa baadhi ya maeneo, ambapo:
1. Mwanaume anaenda...
Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti.
Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano.
Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
Habari wakuu I real hope you are doing good
Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha
Hii imekaaje ndugu zangu?
Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku
Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula
Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk.
Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
Wadau hamjamboni nyote?
#HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi.
Mkuu wa mkoa ametoa...
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU!
Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya.
Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu kupitia mishipa ya caratoid arteries
Mishipa hii upeleka damu kwenye ubongo na huonekana mwili upo...
Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo.
Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi...
Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi.
Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira.
Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
Peace,
Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka.
Nimekuwa nikisikia na kuona vijana wengi wakipendelea vinywaji vya kusisimua mwili alimaarufu "energy drinks" ziko za aina...
Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida.
Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo...
Habari wadau
Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi.
Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje?
Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje.
Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.