kuoa au kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    Ukichelewa kuoa au kuolewa ni ngumu kumpata mwenza mnayeendana

    Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana. Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari...
  2. Mr Why

    Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  3. Pang Fung Mi

    Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

    Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa. Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho. Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa...
  4. Tlaatlaah

    Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

    Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa. Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana...
  5. U

    Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

    Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate elimu Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa? Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
  6. Tlaatlaah

    HIVYO ULIVYO UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA KWELI?

    kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani ya kiimani, furaha na huzuni.... kwa mwenendo na tabia yako ndani na nje ya familia, na zaidi sana...
  7. Tlaatlaah

    Ipi hasara ya kukurupuka kuoa au kuolewa?

    Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
  8. Manyanza

    Kuweni makini na ndoa, usikosee kuoa au kuolewa

    (Story ya Asamoah Gyan) Intro 👇👇 ✍️Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunambia Wanawake wana jicho la kuforecast mafanikio ya mtu kabla hata mtu mwenyewe hajayaona , Yaani mwanamke anaweza kukuweka kwenye mzani akajua wewe ten Years utakuwa wapi kimaisha, kama ukiwa in a stable movement...
  9. Meneja CoLtd

    Mambo Manne Muhimu ya kuzingatia kabla ya kuoa au kuolewa

    Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae. Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni; 1. HOFU YA MUNGU (DINI) Hiki ni kigezo muhimu sana cha...
  10. DR HAYA LAND

    Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  11. P

    Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  12. Kijana LOGICS

    Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single. Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa. kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia. Bro kama ukipata soulmate...
  13. F

    Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  14. M

    Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

    Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
  15. matunduizi

    Matokeo matatu ya kuoa au kuolewa na mwanamke/mwanaume uliyezini naye

    1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi. 2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi. 3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa...
  16. jastertz

    Kuoa au kuolewa kabla ya dada/kaka

    Habari wana JF! Hivi mdada kuolewa kabla ya dada yake kuna shida yeyote?? Maana wadada wengi huwa hawataki ikiwa dada yao alietangulia hajaolewa. Kwahiyo kama dada haeleweki ndo mdogo mtu asiolewe?/ Na akitangulia kuna tatizo??? Nasoma comment
  17. BARD AI

    Mbunge wa Makambako (Jah People) atangaza kuwachangia Fedha Vijana watakaotaka Kuoa au Kuolewa

    Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo...
  18. Cute Msangi

    Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

    Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka. Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda...
  19. Pang Fung Mi

    Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
  20. peno hasegawa

    Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
Back
Top Bottom