Wasalaam JF
Niende kwenye mada straight, hivi inakuwaje katika jamii, sehemu za kazi, ujirani, au ndugu, mtu ambae haoni thamani yako anatambua uwepo wako nyakati zake za kuolewa au kuoa hasa michakato ya kuchangia pesa za harusi?
Kuna uhusiano gani kati ya harusi na kuwatafuta watu ambao huwa...
Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka
Je katika hili kuna ukweli wowote ule
Hi,
WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa.
Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
Inawezekana wakati unamuoa/kuolewa naye ulikuwa na mategemeo lukuki ambayo kwa bahati mbaya huyaoni katika Manisha halisia ya ndoa!
Umewahi kujiuliza kama unatimiza mategemeo yake kwako ya kabla ya ndoa? Moyo wa mwanadamu ni kichaka, yawezekana amejaa sononeko ndani ya moyo wake kwa kutopata...
Wengi wanapenda kuwa na wapenzi na hatimaye kufunga ndoa; Swali, Je tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni kwa ajili ya kupata watoto, kupata utamu, kuondoa upweke, au kuwaridhisha watu wanaokuzunguka kuwa upo kwenye mahusiano au ndoa?
★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote.
★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu.
★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako.
★4. Kuoana kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.