Unajua najiuliza , hivi nyie mliooa mliona nini kwa wake zenu that other women dont , maana mimi kila mwanamke naona the same characteristcs , yani shida shida , ukipata atleast ana a very terrible past , yani kauza sana , mimi na very good history from exs, karibu wote wana admit , wao ndo...