Hakuna kuongea sana siri za kimungu zilizopo katika maji hayo ni za ajabu na zinastaajabisha ni mara 1000 zaidi ya maji ya upako, fanyeni hivyo mje kutoa ushuhuda hapa.
Sina mengi, twendeni.
Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake.
Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille,
Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni.
Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa...
Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Kufanya sex wakat wa kuoga raha sana. Raha yake inaeza kuwa mara 100 ya sex zinazofanyika sehemu nyingine.
Ukifanya sex wakat wakuoga especially kwenye bathtub unaweza ukahisi upo dunia nyingine kabisa kumbe maisha ndio haya haya 😂 kama hujawai kufanya sex wakati wa kuoga jaribu leo uone...
Kuoga ni tabia au mazoea hujengwa tangu utoto, waliokua wavivu wa kuoga utotoni hata wakiwa wakubwa hali huwa hivyo hivyo na kinyume chake husadifu ukubwani.
Je, wewe unaoga mara ngapi kwa siku? Au waoga kila ukichafuka?
Watu huamka asubuhi kwenda kwenye shughuli mbalimbali ambazo husabibisha mwili kuchafuka iwe kwa jasho au vumbi au chochote hivyo kufanya mtu awe mchafu.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya usafi imegundulika kuwa Watanzania wengi huenda kulala usiku bila kuoga wanaenda na uchafu...
Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa mwili ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu.
Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa ngozi ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu.
Daktari bingwa wa tiba ya uzuwiaji wa magonjwa James Hamblin alifanya utafiti kuhusu...
Binafsi na ukubwa wangu huu, nimeoa na nina familia, naishi vizuri tu na jamii ila kuna katabia ka ajabu sana ninako na ni siri yangu tu hakuna anaejua.
Niingiapo bafuni huwa nageuka kama mtoto, Napenda sana kucheza mziki, ntaruka ruka, nitacheza kiduku, nitacheza bolingo, n.k
Nilikuwa dancer...
Ni mrembo hakika, kwa sura na umbo ameumbika. Tatizo hataki kuoga, linapokuja swala la kuoga ni ugomvi mkubwa.
Yeye huwana uso, husugua makwapa, na kuiosha Tukuyu, baada ya hapo ndio Hadi kesho.
Mswaki anapiga vizuri kabisa.
Hana tabia yoyote mbaya, nyumba Safi Kama peponi, adabu ndio mahali...
Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi.
Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto.
Lakini kwa ajili ya urembo na afya ya ngozi, maji ya moto yanatajwa kuwa ni kitu muhimu sana kama vilivyo vipodozi vingine vinavyoisaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.