kuomba msamaha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kabudi ya kuomba msamaha ni nzuri kwa taifa

    Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank. Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa. Pili amepeleka ujembe kutoka...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa agoma kuomba msamaha baada ya kuitusi NATO

    PARIS, UFARANSA RAIS Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi wanachama na kwamba hataomba radhi kwa kutoa matamshi hayo. Matamshi hayo makali ya Rais Ufaransa...
  3. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

    Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani? Ipi unadhani ni ya dhati? Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali...
Back
Top Bottom