kuomba

  1. Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania, --- Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa...
  2. Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu . Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye...
  3. Q

    CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

    Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020. Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa. Je, Ataijibu...
  4. Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

    Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile. Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha...
  5. Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

    Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
  6. Mh. Mbowe kuomba msamaha kwa Watanzania

    Great Thinkers, Nawaza waza, kwa jinsi vikundi vya wapinzani walivyoshindwa kuiyumbisha Tanzania chini ya Jemedari mahiri na makini, mcha Mungu Dkt Magufuli ninaona kabisa Mh. Mbowe akipiga goti kuomba msamaha kwa watanzania na kwa taasisi ya Rais. Je, akipiga goti na kutubu nyie mashabiki...
  7. Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

    Yaani hata kama mtu hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika. Hii tabia inakatisha sana tamaa
  8. R

    Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

    Habari zenu, Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri. Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba...
  9. TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

    Leader and founder of The Synagogue Church of All Nations Temitope Balogun Joshua, commonly referred to as T. B. Joshua would never stop at anything to see the deadly coronavirus completely defeated. Since...
  10. F

    Sipingani na kuomba Mungu dhidi ya corona ila pia kuwa mwangalifu na haya

    Naamini sana katika uwepo na uwezo wa Mungu kama mtu anaweza kufanya mawasiliano sahihi na Muumba huwa anajibu maombi na kutoa msaada. Ila wengi wetu hatujui namna ya kuwasiliana ili kupata majibu. Sio nia yangu kuzungumzia hili kwa sasa ila natoa tahadhari/angalizo: Ulimwengu wa giza hutumia...
  11. Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  12. J

    Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya. Source ITV habari. My take; Tukio hili...
  13. S

    Manispaa ya Dodoma, utaratibu huu mpya wa kuomba fremu za biashara katika stendi mpya ya mabasi na soko jipya unastahili pongezi

    HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…