Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amekuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais Tanzania kupitia CHADEMA
Isaya anayekuwa mgombea wa 6 kuchukua fomu hiyo Kaulimbiu yake ni "Mageuzi ya mfumo wa elimu, upanuaji na uongezaji wa ajira kwa vijana na...
Wasifu
Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.
Elimu
Ruaha IringaDegree20102013Bachelor Degree
Dr. Salmin Secondary SchoolCSEE20042007Secondary School
Hijra...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu...
Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo.
Bila shaka next month(July) bodi ya mikopo wataanza kutoa announcement about uombaji wa mikopo mwaka huu.
Hv...
WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto, Maudline Cyrus Castico amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amekuwa ni mgombea mwanamke wa tano kuchukua fomu hiyo, pia ni wa 32 kwa ujumla wa idadi ya watu waliochukua fomu kugombea urais...
Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni kosa kuu Kati ya makosa makubwa yanayotajwa.
Kuelekea October kila mwana CCM anayezungumza anasema...
Ambari Haji khamis ni wa 1 kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama Cha NCCR Mageuzi kugombea nafasi ya urais Zanzibar.
Ambari Haji Khamis ni Makamo Mwenyekiti Tanzania Zanzibar Chama Cha NCCR Mageuzi amesema endapo chama kitampa ridhaa ya kuwa mgombea na hatimae kushinda urais Zanzibar...
Muwakilishi wa Jimbo la Mtoni, Mh: Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) nae amejitokeza kuchukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombania Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Bhaa anafikisha idadi ya Wagombea 22 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kugombania Urais wa Zanzibar akiwa yeye ni miongoni mwa...
Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015...
wana JF
Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela. Sisi wasio na kazi tunangoja hela zenu zitutengenezee ajia. Muigeni Mh. Pinda anafuga Nyuki, anafuga...
Amani iwe nanyi,
Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu.
Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green...
USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
Watu hawaelewi siri ya bajeti wengine hawataki kusikiliza kabisa matokeo yake hukosea kwenye maisha baadaye kuilalamikia serikali.
Bajeti hii moja ya malengo yake iliyoweka ni Kusomesha kwa wingi Wataalamu kwenye Fani na Ujuzi Adimu/Maalum
Wahindi na wawekezaji wa ndani na nje na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.