kuomba

  1. Z

    Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

    Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka huu amekuwa akipinga jitihada za serikali kusambaza umeme, maji vijijini na mijini, kuboresha huduma za afya, elimu na ofisi za umma, kuimarisha miundombinu na huduma za usafiri wa majini, anga na nchi kavu. Kutokana na kauli za mgombea huyo wa Urais, wagombea wa...
  2. GENTAMYCINE

    Ulituaminisha kuwa Wewe una Nguvu za 'Kimaombi' za Kuwasaidia, sasa iweje leo tena unakimbilia Kwetu Wenye Dhambi na tusiojua Kuomba?

    Mchungaji Daudi Mashimo ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty na mumewe Said Aboubakar amewaomba watanzania kutoa msaada wa kuwachangia Amber Rutty na mumewe huyo ambao kwa sasa wapo katika gereza la Segerea wakitumikia kifungo cha miaka mitano au faini ya Milioni 6. EastAfricaTV Mbona pale...
  3. D

    Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    Dah mambo magumu jamani!
  4. Replica

    Uchaguzi 2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    Kampeni za urais zinaendelea na leo mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi, Dkt yuko Urambo. Kwa sasa aneongea ni Magreth Sitta na anawaombea kura madiwani, Rais na yeye mwenyewe kwenye nafasi ya ubunge kwa kupiga magoti mara tatu kwa kila nafasi. 3:28 Asubuhi: Dkt. Magufuli amewasili...
  5. GENTAMYCINE

    Kama wana CHADEMA 'wanaozunguka' kuomba 'Kura' za Halima Mdee 'Kawe' wana 'Udhaifu' huu, basi 'namtabiria' Askofu Gwajima Ushindi asubuhi tu!

    Jana nilibahatika Kukutana na wana CHADEMA baadhi ambao nadhani ( nahisi ) walipewa 'Jukumu' la Kupitapita Kawe hasa katika 'Nyumba' za Watu na Kumuombea 'Kura' Mgombea Ubunge CHADEMA Halima Mdee. Sina tatizo na 'Mbinu' yao hii ila GENTAMYCINE nina tatizo Kubwa sana na 'Competence' ya hawa wana...
  6. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

    Hii hapa jionee mwenyewe
  7. Erythrocyte

    Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

    Tumekuwelea hapa taarifa hii ili usiachwe nyuma kujua Lissu alipo na anachokifanya kwa wakati husika , jingine ni kuwaonyesha wapiga kura ucha Mungu wa Rais wao mtarajiwa
  8. Miss Zomboko

    Manyara: Wataalamu wa afya mbaroni kwa kuomba rushwa kwa mgonjwa wa tezi dume

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, inamshikilia Daktari na mtaalamu wa dawa za usingizi kwa tuhuma za kudaiwa kupokea rushwa ya shilingi 180,000 kutoka kwa mzee wa miaka 60 aliyekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tezi dume . Mkuu wa TAKUKURU Mkoani...
  9. R

    Msaada wa haraka sana kuhusu namna ya kuomba kazi zilizotangazwa kwenye system

    Wana Jamii forums elimu heshima Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini...
  10. Sam Gidori

    Marekani: Polisi wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili

    Polisi katika mji wa Salt Lake City katika jimbo la magharibi mwa Marekani la Utah wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili baada ya mama yake kupiga simu polisi kuomba msaada. Hatua hiyo ya polisi imechochea ghadhabu kutokana na kuwa mwendelezo wa matukio...
  11. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

    Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri. ======= 10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani 10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
  12. Return Of Undertaker

    Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

    Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka. Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija...
  13. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Sengerema: Dkt. Magufuli aomba ridhaa kuongoza Muhula wa Pili. Asema wakichagua mwingine anaweza kuuza skrepa vyuma vya kujengea daraja

    Leo Rais Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Mwanza na yuko wilaya ya Sengerema, fuatana nami kukujuza yatakayojiri. ====== MAGUFULI: Wananchi wa Sengerema nawashukuru kwa makaribisho mazuri niliyoyapata hapa leo, Sengerema mmefunika, asanteni sana. Nilipopata makaribisho pale barabarani...
  14. Analogia Malenga

    Askari 19 wa Wanyamapori kizimbani madai kuomba, kupokea rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Simiyu kwa kushirikiana na Kikosi Kazi Taifa Dhidi ya Ujangili, imewafikisha mahakamani askari 19 wa wanyamapori kwa tuhuma za rushwa. Watuhumiwa hao wakiwamo askari wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (TAWA), wanatuhumiwa...
  15. MIMI BABA YENU

    Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
  16. jingalao

    Uchaguzi 2020 John Mrema aanza kampeni jimbo la Segerea kwa kuomba michango

    Katika hali ya kushangaza kiongozi mwandamizi wa Chadema anayegombea ubunge Ndg. John Mrema anaanza kampeni zake kwa kuomba achangiwe. Najiuliza iwapo kiongozi huyu ambaye amepata neema nyingi za kushirikishwa kwenye matukio ya Chama chao na kuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda wa zaidi ya miaka...
  17. Influenza

    Manyara: Hakimu Mfawidhi afikishwa Mahakamani kwa kuomba na kupokea rushwa Tsh. 150,000

    Hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Magugu Ndugu Adeltus Richard Rweyendera, amefikishwa mahakamani na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 150,000. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Kaimu mkuu wa...
  18. J

    Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

    Habari wadau, Kuna jambo moja linakera ila naona wengine kama wanaona ni vizuri kwao, sasa inanifanya nijiulize nina matatizo au vipi. Ni kuhusu kupeana vitu na watu, hasa nyumbani na majirani. Sitaki Jirani anipe vitu vyake wala sitaki aniombe vya kwangu, labda awe ametokewa na shida ya kweli...
  19. sky soldier

    Inaruhusiwa kusali baada ya ngono kwa wasio na ndoa?

    Binafsi nina mke ila hili swali nimelikuta huko jukwaa lingine la kimombo nimeona nilete humu kuongezana maarifa Ni maswali yanayoonekana ni ya kipuuzi ila yana umuhimu kujua. Mida ya usiku wa giza ndio mengi ya giza hufanyika na hata nguvu za giza kutawala, yapasa mtu kabla hajalala aombe kwa...
Back
Top Bottom