kuomba

  1. D

    Tujuzane Mbinu za wafalme na Marais wanazotumia kuomba gemu kwa Pisikali

    Haya mambo hayana ukubwa! Kichwa kidogo kikisimama, cha juu kinasanda! Wadau, naomba kujuzwa! Ni namna gani marais na wafalme huomba gemu? Ikumbukwe raha ya hizo mambo huwa tamu kwa wahusika ikiwa zinafanyika faragha na kwa siri baina ya muombaji na muombwaji! Sasa kwa mazingira ya mitutu na...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

    Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi. Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na...
  3. Analogia Malenga

    Baba mbaroni kwa kumuua kwa kipigo mwanaye aliyeenda kutembea bila kuomba ruhusa na kurudi saa tisa alasiri

    Jeshi la polisi mkoani Kagera, linamshikilia Amos Rudovick (39) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wake Dastan Amos (13), kwa kumchapa na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baada ya uchunguzi ilibainika kuwa alimvunja shingo na uti wa mgongo. Kamanda wa polisi mkoani Kagera...
  4. guwe_la_manga

    Utaratibu wa kuomba 'Visa' ya Nchi ya Oman

    Wakuu, Ningependa kwenda kutalii nchini Oman katika nchi tajwa hapo juu. Naomba nipatiwe0utaratibu wa kuomba visa,na ikiwezekana na gharama za nauli na malazi kwa wiki tatu. Natanguliza shukrani.
  5. R

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
  6. The Assassin

    Baada ya Uingereza kuazimia kuiwekea vikwazo Nigeria juu ya uvunjifu wa haki za binadamu, Nigeria imeenda kuomba isamehewe

    Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu. Bunge la UK Liliazimia kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Nigeria, jeshi la polisi na jeshi la ulinzi kwa uvunjifu wa haki za...
  7. Vhagar

    Kuna mliobahatika kuomba kazi Home Contruction Company na kupata

    Heshima kwenu wanabodi. Muda huu katika kuperuzi peruzi huku mtandaoni nimekutana na sponsored ads kwa kampuni inayoitwa Home contruction. Inasema ina miaka mitano hapa nchini. Ila binafsi ndio nimekutana nayo. Imetoa nafasi za kazi kwa fani mbali mbali. Kwa nafsi yangu nikasema ngoja nikapply...
  8. Analogia Malenga

    Maxence Melo: Nashukuru kuwa mtu huru kutembea nje ya Dar bila kuomba ruhusa

    Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums amesema anashukuru sana kwa kuwa sasa ni mtu huru kutembea nje ya Dar-es-Salaam bila kizuizi chochote cha kisheria. Awali alikuwa na zuio, ambalo lilikuwa linamtaka apate ruhusa maalumu ya kutoka nje ya Dar kutokana na kesi zilizokuwa zinaikabili JamiiForums...
  9. Masokotz

    Je, ninaweza kuomba kuteuliwa na Rais kuwa Mbunge?

    Kuna jambo ambalo ninaliwaza. Najua kwamba Mheshimiwa Rais anazo nafasi kumi za uteuzi wa wabunge kikatiba.Najua pia kwamba anao uhuru wa kuteu mtu yeyote kwa nafasi hizo bila kuulizwa.Katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa JPM kuna mambo kadahaa ambayo nimeyaona ambayo kama angekuwa na...
  10. Jidu La Mabambasi

    Nani wanaongoza kuomba hela?

    Namba moja michepuko-hao ni balaa! Namba mbili mama chanja(mamsap) Namba tatu ndugu na jamaa! Namba nne, kanisani/msikitini! Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k. Namba sita chama.......! Mwana JF weka nawe wa kwako!
  11. Ileje

    Uchaguzi 2020 Tutafakari: Kwanini Serikali iliamua kugharimia Uchaguzi Mkuu badala ya kuomba UNDP kama ilivyozoeleka?

    Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka huu imekuwa tofauti kabisa Serikali iliamua kugharimia, kitendo ambacho haiingii akilini kuwa ni...
  12. Intelligence Justice

    Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba ridhaa ya uongozi wa kisiasa kwa Watanzania

    #Upandachondichouvunacho: Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba kura kutoka kwa wananchi wa Tanzania kupewa uongozi wa kisiasa ni haya. 1. Kumshambulia mgombea mshindani kwa tuhuma zisizothibitishwa na chuki dhahiri za binafsi; 2. Kulazimisha wananchi wakatae kukiri wanachokiona kimetendwa...
  13. J

    Uchaguzi 2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

    Nilidhani wakati huu wa uchaguzi wapiga kura ni WAFALME. Kitendo cha Magufuli kupiga magoti na kuwaomba Wanambeya kura kilionyesha unyenyekevu na heshima kwa wapiga kura. Wagombea lukuki wa CCM wamekuwa wakijishusha na kupiga magoti kuomba kura. Nadhani ni utaratibu mzuri. Nimeshangazwa na...
  14. Q

    Uchaguzi 2020 NEC yamtaka Catherine Ruge mgombea ubunge jimbo la Serengeti kuomba radhi yeye asema haombi

    Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu kufata kanuni za Uchaguzi na Maadili ya Uchaguzi.#SitaombaRadhi.
  15. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  16. RUSTEM PASHA

    Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliijaribu kuomba kazi, na kufanya interview

    Kwa mara yakwanza siku ya ijumatatu niliomba kazi. Kuna rafiki yangu alinifowardia message WhatsApp, kuwa kunamahala wanatafuta Mechanical engineer, wakufanya kazi za maintenance katika machines kiwandani. Pamoja nakufanya installation za baadhi ya machines. Basi nikatuma cv, siku hiohio usiku...
  17. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi atinga Kata ya Ilomba kuomba kura

    Yule mbunge wa Milele wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ambaye pia aliwahi kufungwa jela kwa kesi ya Kisiasa, leo amefika Kata ya Ilomba kuomba kura zake mwenyewe lakini pia ameomba zingine kwa ajili ya Tundu Lissu na chama chake. Hivi ndivyo ilivyokuwa.
  18. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Joseph Mbilinyi aendelea kuomba kura Mbeya Mjini

    Hii hapa ni Kata ya Maendeleo , Soko Matola
  19. D

    PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

    Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC. Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga!
Back
Top Bottom