Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita
130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan.
Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu.
Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12
Sasa yametimia! Mabadiliko hayo ya kikanuni yamefanyika ndani ya...
Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu.
Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote.
"Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
wakuu habari za kushinda???..
ndugu zangu wakuu.. naomba mwenye kujua hili anisaidie na aseme lolote..
nilipokuwa naomba mkopo.. nilijaribu kuwa makini sana na kuweka all required details kulingana na current guidline..
cheti cha kuzaliwa na cha kifo niliviatach .. lakini baada ya kumaliza...
Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo.
Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba.
Mwanafunzi ana CEE ya CBG.
Asanteni Sana
Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga.
Lakini nafikiri michango yote...
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania...
Mimi ni mdau ambaye naunga mkono sana mabadiliko ya Katiba lakini mpangilio wa sasa ambao unaongozwa na CHADEMA sijaupenda na hautasaidia mafanikio haya kwasababu zifuatazo
1. Rais mpya Samia hawezi kukubali kufanya katiba wakati mapema kwa kuzingatia ameingia majuzi tu na kachukuwa madaraka...
Mama omba radhi Watanzania kauli yako ya kusubiri kwanza kufufua uchumi ndiyo turuhusu marekebisho ya katiba na mikutano ya kisiasa hii umechemka.
1. Utachukiwa kuliko hata JPM
2. Utapoteza heshima ya kuitwa mama
3. Utazalisha akina Sabaya na Makonda wengi kuliko JPM
4. Unaweza kuwa Rais wa...
WAUGUZI wawili wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato mkoa wa Geita, wamehamishwa, kwa kutuhumiwa kuomba Sh. 90,000 kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa.
Wanadaiwa kuomba fedha hizo kwa wagonjwa ili kuitumia kama nauli kwenda kufuata damu katika vituo vingine vya afya kutokana na kituo...
Niende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB...
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
Mama kawaumiza sana Vijana wa CCM, hili wala halina ubishi wala haliwezi kuwa mada ila cha kusikitisha ni mambo wanayoyafanya hao MATAGA ni ujinga mtupu.
Moja, wameamua kujitoa kwenye makundi yao ya WhatsApp ili kuonyesha kutoridhika baada ya kukitumikia chama hasa kwa kumtusi Mheshimiwa Mbowe...
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.
Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke?
Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.