Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali.
Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili...
Mungu hajawai kuumba vyeo vya watu bali aliumba watu na watu wanayao bila kujali vyeo wala nafasi zao
VATICAN CITY (Reuters) - Cardinal Peter Turkson, seen by some as a candidate to become the first African pope in about 1,500 years, has abruptly offered his resignation from a key Vatican...
Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua...
Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu.
Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Habari za Leo ndugu zangu, Nimeumizwa na kusononeshwa Sana na tukio lililotokea Leo Majira ya saa 5-6 mchana Jijini Dar - Mtaa wa Kimara Mavurunza, mita chache tu ukitoka kimara DAWASCO kuelekea Kimara Mavurunza.
Vijana wapatao watano wakiwa wamevalia magwanda ya kijani ambapo inasadikiwa kuwa...
Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea.
Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.
Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
____________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini.
Tulikuwa tunaambiwa...
Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake!
Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe?
Kuna Uganda, Kenya and the Giant...
Wakuu habarini za saizi
Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo.
Je, ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu...
Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka.
Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania.
Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria.
Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu...
Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake.
Nasubiri muongozo wenu wakuu.
Hii ndio taarifa ambayo watu wote wapenda haki mnatakiwa kuifahamu , Ikumbukwe kwamba kumuombea Mbowe ni kuiombea nchi pia , ni kuomba haki itawale nchini na ni sawa na kuombea mafanikio ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI .
Maombi haya Mazito yatavurumishwa kwa siku mbili , Tarehe 7 na 8...
Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa.
Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani...
Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni
Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
SHIKRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO.
TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MOROGORO.
Shirika la umeme Tanesco linaomba radhi wateja wetu wanaotumia laini ya Tungia,Mzinga,Kilosa,Mikese kwa kukosa huduma ya Umeme usiku wa kuamkia leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.