kuomba

  1. M

    Msaada: Mke wangu ametoka likizo ya uzazi, na amerudi kazini lakini boss wake anamlazimisha kufanya kazi full time

    Habari wadau? Kwa wabobezi wa sheria especially maeneo ya kazi. Mke wangu ametoka likizo ya uzazi, na amerudi kazini, lakini boss wake anamforce kufanya kazi full time na muda mwingine anatoka saa 5 usiku. Hili limekaaje?
  2. S

    Uhakiki vyeti ili kuomba mikopo ya HESLB unafanyika vipi?

    Mwenye ufahamu wa namna ya kuhakiki vyeti ili kujitayarisha kuomba mikopo ya HESLB anisaidie process inafanyikaje na vyeti gani vinahakikiwa
  3. Kurunzi

    John Heche: Wabunge 19 Viti Maalum wajitokeze kuomba msamaha badala ya kuwatumia Watu

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani kuomba radhi badala ya kuwatumia watu kuwaombea msamaha. Heche ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2021...
  4. jiwe gizani

    Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

    Habarini wananzengo, Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa. Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu"...
  5. Analogia Malenga

    Muda wa kuomba ajira za walimu na watu wa afya waongezwa

  6. Sky Eclat

    Tumeachwa kuomba ongezekao la mishahara tunasahau katiba yetu imepitwa na wakati.

  7. Erythrocyte

    Rais Samia Suluhu, tumia ziara yako nchini Kenya kuomba radhi kwa kuchomwa vifaranga na awamu iliyopita nchini mwako

    Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi. Sitaki kurudia kusimulia unyama ule...
  8. P

    Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

    Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
  9. M

    Habari! Kwanamna gani unaweza kuomba ufadhili wa kusomeshwa au kufadhiliwa masomo kwenye NGO Kama help to help

    Unawezaje kuomba ufadhili wa masomo diploma kwa NGO help to help
  10. Replica

    Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  11. M

    Kuomba ufadhili diploma inawezekana

    Kuomba ufadhili diploma inawezekan a?
  12. Libya

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  13. G

    Napata changamoto ya kuomba kuhitimu baada ya kuwa na carryover mwaka wa mwisho

    Napata changamoto ya kuomba kuhitimu baada ya kuwa na carryover mwaka wa mwisho
  14. P

    2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

    Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa, Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa. Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la...
  15. comte

    Mama amkataliwa kijana wake kulala kitanda kimoja na mke wake kwenye mji wake waliko kwenda kuomba hifadhi baada ya mafuriko

    https://www.yahoo.com/news/woman-blown-away-mother-law-183710718.html
  16. Mwanamayu

    Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
  17. Jembe Jembe

    Waliomteka mfanyabiashara, kuomba rushwa wakiri mashtaka

    Askari polisi watatu pamoja na raia sita akiwemo mfanyabiashara maarufu wa Madini a Tanzanite, Lucas Mdeme wanaotuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi wamekiri makosa kwa kuandika barua kwa DPP. Wameandika barua ya kukiri mashataka sita wanaokabiliwa nayo ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji...
  18. GeoMex

    Mshtakiwa kesi ya kusafirisha walemavu, kuwatumia kuomba afariki dunia

    Dar Es Salaam. Mshatakiwa wa kwanza katika kesi ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Sadikiely Meta(71) amefariki dunia katika Hospitali ya Temeke alikokuwa akipatiwa matibabu. Meta na wenzake...
  19. polokwane

    Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

    Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu...
  20. E

    Watumishi wa Umma badala ya kuomba mwongezewe mishahara ombeni wengine nao waajiriwe

    Ujumbe muhimu kwa Watumishi wa Umma. Japo kuna baadhi ya watumishi hawatoweza kunielewa nini naamaanisha ila namaanisha kweli. Kwanza kabisa naomba nieleweke ni hivi mshahara haujawai tosha na wala hautakuja kutosha. Jambo la msingi ambalo watumishi mnatakiwa kujifunza ni jinsi ya kumeneji...
Back
Top Bottom