kuomba

  1. Magical power

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  2. K

    Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  3. kante mp2025

    Kuomba nafasi ya kazi kwa aliyepata ajira serikalini kada ya maabara ya hospitali!!

    Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
  4. Clark boots

    Msaada: Kuna namna nyingine ya kupata namba ya NIDA bila ya kwenda ofisini kwao?

    Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
  5. Cute Wife

    Wazee wa kuomba Ban mko wapi? Siwaoni! Leteni ahadi hizo Mods wawape haki zenu mkichinjwa kwenye mechi ya watani

    Wakuu, Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh: Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho? Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
  6. H

    Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  7. JanguKamaJangu

    Wakili Ogola asema “Kitendo cha Gachagua kuomba msamaha inaweza kutumika kama amekiri kosa”

    Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa. Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
  8. Madwari Madwari

    Naona waarabu wameanza kuomba msamaha

    Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana? Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
  9. Gulio Tanzania

    Anza utaratibu wa kufanya maombi asubuhi alfajiri utajibiwa haraka sana

    Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote. Yohana 15 Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii...
  10. chiembe

    Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

    Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi. Nay
  11. Waufukweni

    Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  12. Juice world

    Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

    Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
  13. B

    Pre GE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

    05 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam. Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo. Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
  14. Pdidy

    Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

    DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
  15. G

    Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  16. Roving Journalist

    Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25

    Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
  17. C

    Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  18. Mi mi

    Ombi langu nifundishe kuomba

    Mmmh, Haleluya Huwaapia moyo Nitakulinda Maana najua kwamba kuna chemichemi Nitakujengea boma uwe salama Adui akija asikuweze Usiruhusu maneno yakuvuruge Usiruhusu hasira ikae kwako Namuweka mlinzi awe ngome yako Akupiganie ubaki salama Bwana naomba utete nao wale Wanaoteta nami Naomba upigane...
  19. Analogia Malenga

    Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  20. chiembe

    Kama ambavyo DPP anaweza kuomba kuingia katika kesi yoyote ile ya jinai, Mwanasheria Mkuu pia anaweza kuomba kuingia katika kesi ya madai yoyote ile

    Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali. Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi yoyote ile ya madai kama kuna maslahi ya umma ili kuondoa matumizi mabaya ya mifumo ya haki Ni taarifa tu
Back
Top Bottom