Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza siku saba za maombolezo kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 4, 2026, kwa ajili ya kuwaenzi na kuwakumbuka watu waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025, wakati wa Uchaguzi Mkuu.
Tangazo hilo limetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani...