kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa Nishati Toa kibanzi kabla ya kuona Boriti

    Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika: https://www.tanesco.co.tz/customer-services/property-tax
  2. Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  3. Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

    Anaeleza ujinga wake mbele ya wazazi na watu wanaoheshimiana nao Angalia kwenye video. Kama mzazi nimeumia sana
  4. Inashangaza kuona mpaka sasa Wajumbe Bodi ya Ligi Kuu hawajatangaza kujiuzulu

    Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja ambaye amejiuzulu nafasi yake na kutoka nje ya kikao baada ya...
  5. NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

    Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania Binafsi kama MH...
  6. Nitashangaa kuona Kasongo yeye na kundi lake pale TPLB wataendelea kuwepo.

    Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu. Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu...
  7. Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  8. Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

    Ni vingi lakini hivi ni baadhi, -Mmasai albino -Mwanajeshi albino -Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta) Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito :D -Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
  9. R

    Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  10. Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

    msikilize hapa akiwa na Sholo Mwamba.
  11. Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  12. Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  13. Errol Musk, baba wa Elon Musk asema yeye ni mtu wa Totoz na hajawahi kuona ama kukutana na mwanaume yoyote Duniani hapa ambae sio wa Totoz.

    Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo. Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
  14. Mwanamke akishaanza kuona hastaili kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo

    Narrative kama.. "Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu" "Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi" "Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka" "Sitaki niolewe then nipelekeshwe" Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+..... Plus umalaya wa kutosha...
  15. Tunategemea kuona hoja na mipango ya kimaendeleo kwa wagombea kuelekea uchaguzi lakini badala yake tunaona vituko na maigizo yasiyo na maana

    Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwa wagombea badala yake tunaona mara sijui waziri anagala gala chini mbele ya mgombea mara...
  16. Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  17. Dhana ya kuchunguzana kabla ya kuona ina tumiwa na wanaume kuchezea na kupotezea muda mabinti za watu

    Kama kichwa cha mada husika kinavyo sema hapo juu, siku hizi kuna dhana inayo sema eti kabla ya kuoana ni lazima kuchunguzana ili mjuane ndo muoane eti ndo ndoa yenu itakuwa imara,kwa jina lingine tuite uchumba sugu. Lakini cha kushangaza kwenye huu ulimwengu wa kisasa ambao watu...
  18. J

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
  19. Viongozi wa dunia ya 3 upeo wao wa kuona mbele ni miaka 4 mpaka 5, huku viongozi wa Dunia ya 1 uono wao wa kuona mbele ni miaka 50 mpaka 100

    Habari, Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu. Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara. Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
  20. Jinsi ya kuona sayari kwa macho

    Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu. Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze kuziona. Haya maelezo ni kwa wale wapo karibu na Ikweta zaidi. Ukiwa mbali na Ikweta basi utaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…