kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INAARIFIWA: Yanga kwenda Uwanjani 08/03/2025 mechi ilipoahirishwa ni kufuata majini yao na kuondoa uchawi wao.

    Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025? Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
  2. Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

    Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki. Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora. Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
  3. Huyu ndiye kiongozi na mgombea tunayetegemea atumie 'Neoclassical economics' na adadavue 'Complex Economic Boost Projects' Kuondoa umasikini Tanzania

    Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
  4. Trump unveil exploit done by mobile company! Out of the will.

    Tell Kenyan company!
  5. Trump effect: Je, kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada

    Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada. Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao. Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje huko uliko? Naskia kuna wanaoambiwa watapewa dawa za mwezi kwa mwezi badala ya miezi 3 au 6. Hali...
  6. Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  7. Fundi na gharama za kuondoa mistari kwenye Smart TV

    Waungwana nawasalimu, Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema. Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
  8. Nini kifanyike ili kuondoa hii dhana kwamba Traffic police wapo kwa ajili ya kupata pesa za waendesha magari?

    Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
  9. Stand ya Gharama ya Nyamhongolo, Mwanza hata usafi wa kuondoa Buibui mmeshindwa???

    Kodi mnakusanya lakini hata usafi wa kuondoa buibui mmeshindwa??
  10. Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  11. P

    Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

    Wakuu, Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini? Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia. Lengo la...
  12. Serikali ipambane kuondoa matabaka kwenye shule zake. Kibaha iwe sawa na Oljoro

    Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna sahihi kwa sababu hata EMs ni za watanzania kwa ajili ya watanzania. Kwa pamoja EMs na Kayumba ziko kwa...
  13. K

    KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  14. Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

    Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo?? Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it? President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship...
  15. Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  16. M

    Kama Mbowe angekuwa na busara angeivunja Sekretariati na kuiunda upya kuondoa wachumba/wapenzi wa wabunge 19

    Zimekuwepo na hoja zinajengwa za kudai eti ndugu Mbowe ni mwenye busara. Hata hivyo mimi napinga hii hoja kutokana na matendo ya mwenyekiti. Busara haipimwi tu kwa kauli bali inapimwa kwa maamuzi na hata matendo. Hebu fikiria Jambo hili. Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Mwenyekiti ndiye...
  17. Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

    Mpo salama! Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo. Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
  18. Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?

    Wanabodi, Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314 Kuna msemo wa Kiswahili usemao, mchelea mwana kulia , hulia yeye!. Makala hii ni swali "Tanzania ni nchi moja ya...
  19. M

    Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  20. B

    KERO Mto Ngerengere – Morogoro uchimbwe ili kuondoa taka zilizojaa, wakati wa mvua maji yanaingia mitaani

    Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali inayosababisha maisha ya watu kuwa hatarini. Wanaokuwa hatarini zaidi ni Wanafunzi wa Shule za Msingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…