kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  2. A

    SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
  3. Tlaatlaah

    Ni njia zipi unaweza tumia kuepuka, kupunguza na kuondoa kabisa msongo wa mawazo 'stress'

    Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine. Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo...
  4. Ritz

    Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

    Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar. Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na...
  5. U

    SoC04 Kuondoa Ukatili wa Kijinsia na Ndoa za Utotoni

    UTANGULIZI: Tanzania inatakiwa kuwa na malengo ya kuwa nchi yenye usawa wa kijinsia na kuheshimu haki za binadamu kwa wote. Moja ya changamoto kubwa ni ukatili wa kijinsia na ndoa za utotoni. Kuondoa changamoto hizi ni muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika miaka ijayo, Tanzania...
  6. UDENYE

    Wizi na ufisadi unaonaofanywa na dstv. Serikali mtusaidie wanyonge kwa kuondoa ukiritimba.

    Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo alishauri Bunge na Serikali TANROAD Iwe ni Mamlaka Kamili Badala ya Kuwa Wakala Ili Kuondoa Urasimu

    "Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
  8. Pule

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuondoa umasikini kwa Watanzania wengi

    Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au kuondoa umasikini kabisa ni lazima serikali kupanga na kuweka mikakati iliyothabiti ilikuweza...
  9. MURUSI

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya Vitu na miradi ya watu, ili kuondoa umasikini Tanzania

    Kuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya maendeleo ya watu na miradi ya maendeleo ya vitu ili kupunguza umaskini wa vipato. Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuja juu sana kwa swala zima la ukuaji wa uchumi, na hii inachochoewa na kasi ya maendeleo hasa hasa miundo mbinu, Tuna miradi mingi sana ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja

    "Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha madawati ya vituo vya huduma kwa wateja kwa Mamlaka zote za Maji na Usafi wa Mazingira nchini ambapo huwa na jukumu la kupokea taarifa za huduma, maoni, ushauri na malalamiko ikiwemo bili za Maji kutoka kwa wateja na wadau mbalimbali. Baada ya...
  11. Shujaa Mwendazake

    Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

    Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake. Kuna...
  12. Dannis

    Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

    Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20...
  13. Mabula marko

    SoC04 Matumizi ya viumbe hai wadogo (bakteria na fangasi)” katika kuozesha taka ili kuondoa tatizo la uchafu katika mazingira yetu na kulinda afya zetu

    MATUMIZI YA VIUMBE HAI WADOGO (BAKTERIA NA FANGASI)” KATIKA KUOZESHA TAKA ILI KUONDOA TATIZO LA UCHAFU KATIKA MAZINGIRA YETU NA KULINDA AFYA ZETU NA VIUMBE HAI WENGINE Utangulizi: Tanzania kama nchi zingine ulimwenguni huzazlisha taka laini na ngumu nyingi zitokanazo na shughuli za kila siku za...
  14. Wauzaji wa containers

    SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  15. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  16. Action and Reaction

    Jinsi gani ya kuondoa hii message kwenye desktop au pc?

    How to fix this message?
  17. Angyelile99

    SoC04 Kuondoa ubaguzi kwa kutumia lugha ya alama kwa walemavu wa kusikia na kuongea

    utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
  18. R

    Nini kifanyike kuondoa wachuuzi Raia wa Kigeni Kariakoo?

    Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku...
  19. MK254

    Itachukua miaka 14 kuondoa vifusi vya Gaza, pamepigika kweli

    Hiyo sehemu inaonekana ilikua imejengwa sana na imepigwa haswa hadi Umoja wa Mataifa wanasema itachukua miaka 14 kuondoa vifusi... UN official says it could take 14 years to clear debris in Gaza By Reuters A Palestinian man carries belongings as he walks through the rubble of a destroyed...
  20. R

    Inawezekanaje kuimarisha Maadili katika JAMII Kwa kuondoa Biblia mashuleni?

    Salaam, shalom!! Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto. JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa ni wazazi. Nichukue fursa hii kuwakumbusha JAMII kuwa, watoto wetu, wanakaa mashuleni masaa mengi...
Back
Top Bottom