Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza kwasababu ya matangazo haya!
Nilikuwa nimetafuta kila njia ya kuuondoa lakini imeshindikana, ilikuwa...
The other day niliandika kuwa Mh Ummy Mwalimu atusaidie kipande cha kutoka Chalinze (Mwakidila) to at least Machui junction wakikwangue (grading) kwa sababu kilikuwa hakipitiki kabisa na ilikuwa shida kubwa sana. Jana naona wamekipiga grada (grading) na sasa kinapitika vizuri. Kama ni hivyo...
Tukio hili la kusikitisha la Hanang linanikumbusha maporomoko kama haya yaliyotokea Uganda miaka kadhaa iliyopita , watu walizikwa na udongo , huku vifaa vya uokozi vikiwa Machepeo na Sululu , kiukweli baada ya jambo lile niliona aibu sana kuzaliwa Africa , na hasa Africa Mashariki , nilijiona...
Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano
Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano?
Panatofauti gani kati ya...
MWALIMU NYERERE ALIMZUIA BALOZI JOSEPH RWEGASIRA KUWAONDOA MAKAHABA JIJINI DAR
Tanzania imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini nyingi zikiwa hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari na hivyo kupelekea vizazi vya sasa na vijavyo kutokujua mengi yaliyowahi kutokea na kuleta changamoto...
Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
Takribani malori elf 10 toka nchi mbalimbali uvuka kwa mwezi mpaka wa Tanzania na Zambia mji mdogo wa Tunduma,shida kuu ni foleni sababu ya miundombinu mibovu.
Unakuta foleni ya malori inafika hadi kilometers 30 sawa na kutoka Posta Dar hadi mlandizi.
Yakingojea kuvuka yakiwa na mizigo ikiwemo...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo.
Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya...
Hii ni ajabu sana. Hivi majuzi eti Dkt Mwigulu aliamua kuzindua ujenzi wa barabara kutoka Sepuka hadi Ndago ili kuunganisha na Kizaga - pale junction ya barabara Kuu iendayo Magaharibi - Tabora na Shinyanga. Wakiwa katika uzinduzi huo Dkt Kitila akajinadi kuwa hawana tena siasa za majitaka kati...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania na kazi iendelee
Wanajamvi, nimekuwa na tatizo la nyuki kuweka makazi ndani kwenye dirisha la nyumba changu hali iliyolelekea kuhama kabisa na kukiacha kile chumba
Sina hakika lini nyuki hawa walianza kuweka kambi ila leo hii usiku wa...
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya...
TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA
Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote.
Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu kuanza kwa huduma hii takribani watu watano wamenufaika na matibabu hayo.
Upusuaji huo umefanywa na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepunguza kodi katika vitenge vinavyoingizwa nchini ili kutoa unafuu kwa wafanyabiashara.
Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano kutoka TRA, Richard Kayombo alisema hayo wakati Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe alipotembelea mamlaka...
Binafsi sioni kama ni sawa kuondoa ushindani kwenye bidhaa (kibiashara)
Nilitamani EWURA watoe bei Elekezi ya juu, ila bei ya chini waache kila mtu ajipangie
Tumeona hii ikifanyika kwenye ada za Shule za private nk
Kuna vituo vya mafuta vyenye uwekezaji mkubwa na wanamitaji mikubwa hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.