kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Dawa ya kuondoa makovu sugu mwilini

    Mambo vipi, Naomba kujua kama kuna dawa ya kuondoa kovu, nilipata ajali ya boda nikapiga uso baada ya kupona nikabaki na kovu Je, kuna dawa ya kuondoa hilo kovu na kama ipo inaitwaje ili niitafute? Natanguliza shukrani.
  2. B

    Dawa ya kuondoa tatizo la mtoto kupata degedege

    Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo. Tulimpa Panadol kushusha homa na kumkimbiza hospitali ikaonekana ana infection kwenye damu akapatiwa dawa akapona. Mwezi ulioisha tena alipata...
  3. B

    Hongera NECTA kwa kuondoa kupanga shule zilizoongoza

    Tunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya ufaulu Hii hatua SERIKALI naipongeza sana wizi wa mitihani kwa udanganyifu utaisha Sasa watoto watapata...
  4. Pdidy

    MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

    Nawaza hata niliyemkosea nakosaaa, Na mwezi sasa nyumba haikaliki mapaka yanalia kuzunguka nyumba nzima. Niliweka sumu wakafa wawili yaan kama nimefungua vita wakija kama wanaita wenzaao hatulali wakuu. Kibaya wapangaji wangu wameanza kuhama mmoja mwanae amelala nae kitandan kamkuta sebulen...
  5. R

    Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  6. MchunguZI

    Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  7. BARD AI

    China kuondoa sharti la Karantini kwa wageni wote kuanzia Januari 8, 2023

    Baada ya kufunga Mipaka yake kwa miaka mitatu ili kupambana na Maambukizi ya #UVIKO19, China itafungua tena Nchi kwa wenye Visa ya Ukaazi, Masomo na wanaotaka kutembelea familia. Pia, Taarifa iliyotolewa na Mamlaka imesema wageni watalazimika kufanya kipimo cha kubaini hali zao (PCR) lakini...
  8. Sildenafil Citrate

    Mbinu za kuondoa tatizo la kutokupata usingizi wa kutosha

    Mwaka 2017, mtafiti wa mambo ya usingizi Dr. Tomath Roth aligundua kuwa tatizo la kukosa usingizi wa kutosha (Insomnia) linaweza kuathiri kiasi cha theluthi moja ya watu wote duniani katika muda fulani. Ni kweli kuwa baadhi ya watu huwa hawapati kabisa usingizi? Kutokana na kuugua tatizo la...
  9. B

    Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  10. Mwl Athumani Ramadhani

    Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  11. B

    Kuondoa mlio wakati wa screenshot

    Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa screenshot kimyakimya bila kutoa souti?
  12. BARD AI

    DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu iliyopata zabuni ya kuendesha mradi wa Mabasi hayo itaanza utaratibu huo Novemba 2022. Pia, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa DART, Fanuel Karugendo amesema wameipa miezi 6 kampuni hiyo kuingiza mabasi mapya na kwa kuanza...
  13. SAYVILLE

    Suluhisho la haraka litafutwe kuondoa harufu mbaya maeneo ya Kivukoni

    Ndugu wananchi, leo nakuja na mada ngumu kidogo. Mazoea ya kitu hayahalalishi kwamba jambo hilo ni sawa. Linaweza kuwa tatizo lakini mazoea yakakufanya usione umuhimu wa kulitatua. Tumekuwa tunaishi miaka mingi na uwepo wa soko la samaki pale Kivukoni au wengi wanapaita Ferry. Soko lile pamoja...
  14. MK254

    Urusi yaendelea kuondoa maafisa wa kijeshi Kherson na kuacha makapuku wanywa gongo wajifie

    Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya Ukraine...... Russian military officers have withdrawn from Kherson as Moscow prepares for a Ukrainian...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Makosa/dhambi ambazo tukifanya tunatakiwa Tuuawe ili kuondoa Uovu kwenye Jamii

    MAKOSA/DHAMBI AMBAZO TUKIFANYA TUNATAKIWA TUUAWE ILI KUONDOA MAOVU KWENYE JAMII. Anaandika, Robert Heriel Tunalalamika Kwa nini dunia ya sasa maovu yameongezeka, matukio ya kikatili na unyama yameshamiri. lakini muda huohuo tunasahau kuwa mbinu namba moja ya kuondoa Uovu kwenye jamii yoyote...
  16. BARD AI

    Njia 10 za kuondoa Stress na Uchovu kwa haraka

    1. Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako! 2. Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu...
  17. Tigress

    Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili

    Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
  18. Lady Whistledown

    Zambia: Rais Hichilema amenuia kuondoa Sheria inayozuia kumtusi Rais

    Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika Ahadi hiyo ni kufuatia malalamiko ya Watetezi wa #HakiZaBinadamu ambapo takriban watu 12 wakiwemo...
  19. Mpinzire

    Kuondoa Tozo kwenye Mabenki huku mkiacha kweye Miamala ya Simu, ni unyonyaji

    Nimeona Waziri wa Fedha akisema tozo kwenye mabank wameziondoa na tozo walizoziondoa ni kama zifuatazo. (i) Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu pande zote. (ii) Tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja. (iii) Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda...
  20. BARD AI

    Raila Odinga: Nilikwenda Zanzibar kuondoa mshtuko wa kupoteza Uchaguzi

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022. Waziri Mkuu huyo wa zamani alibainisha kuwa safari ya nje ya nchi ilikuwa muhimu kuwezesha familia yake...
Back
Top Bottom