Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya.
Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa.
Tahadhari kwa...
Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine?
Kama Ndugai...
Pili Mwinyi
Bara la Afrika, ambalo lina watu zaidi ya bilioni 1.3, hivi sasa linakabiliwa na mtihani mkubwa wa baa la njaa. Mbali na sababu nyingine nyingi zikiwemo ugaidi na vita vya wenyewe kwa wenyewe, baa la njaa pia linatokana na ukosefu wa mvua unaopelekea ukame na hatimaye kuwa na uhaba...
Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao
Mmiliki wa Chepchikoni amesema bei ya mafuta na viazi inasababisha apate hasara. Muuza chipsi mwingine anayetambuli kama...
Salama wakuu. Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows. Asante nisaidieni. Nipo dodoma na mafundi wengi wananiambia ni lazima kupiga chini window then kuweka antivirus na kuscann
Pili Mwinyi
Mkutano wa tano wa Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira (UNEA-5), uliomalizika katika makao makuu ya UNEP jijini Nairobi, umeshuhudia kupitishwa kwa agizo la kihistoria linalotaka kuanzishwa kwa mkataba wa kimataifa wa plastiki.
Kwa mujibu wa agizo hilo, mkataba huo...
Na Ronald Mutie
Takwimu zilizotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kulinda Mazingira UNEP kwenye mkutano wa tano mkuu wa Mazingira UNEA-5, zinaonyesha kuwa takriban tani milioni 11 za taka za plastiki hutiririka katika bahari kila mwaka, na kutishia maisha ya viumbe vya baharini, usalama wa...
Ukifika mkoani Kilimanjaro utaona ni jinsi gani kizazi hiki kinavyoenda kubadili kabisa aina ya kilimo cha kahawa kilichozoeleka tangu enzi ya mkoloni.
Vijiji vichache nilivyotembelea katika wilaya ya Hai na wilaya ya moshi vijijini nimejionea wanavijiji wengi wakiwa wameondosha kabisa zao la...
Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo mapema wiki hii kuitisha kuondoka kwao likionekana kuwa pigo kwa Ufransa ambayo inaongoza operesheni ya pamoja dhidi wanamgambo wa kiislamu nchini humo.
Kwa...
Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili...
Kwa hali iliyopo sasa ya kuamka na kusikia vitendo vya mauaji kila mahali
Kama Taifa ipo haja ya viongozi wa dini kufanya maombi ya kitaifa ili kulinusuru na hali hii mbaya.
Vile vile ipo haja ya wazazi katika level za kifamilia kuboresha makuzi ya watoto wao katika misingi ya Tabia sahihi
Na...
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
Mifumo yetu yote yakijasusi na kiraia imekosa au imepungukiwa watu wenye akili na kukaliwa na watu wenye nguvu. Watu wenye akili hata wakizeeka au kuugua still wanaweza kutoa strategies zakuwasaidia wenye nguvu kufanya KAZI lakini watu wenye nguvu iwe ya mwili au uchumi au ya dola wakipatwa na...
Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala kuwaondoa kwa nguvu ya umma tu.
Rasimu ya Warioba ilipendekeza Mawaziri wasiwe wanateuliwa kati ya...
Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha...
1. Tathmini ya kuondoa Machinga ikoje?
2. Zoezi limefanikiwa?
3. Kama halijafanikiwa kikwazo ni nini?
4. Kama limefanikiwa nini cha kujifunza kwa baadaye?
5. Miji imekuwa misafi sasa?
6. Foleni zimepungua?
7. Wenye maduka wako huru?
8. Mitaa ya katikati ya miji inapitika?
9. Mitaro inaweza...
SALAAM WAKUU.
Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii kampuni ya Online nafanya kazi kuanzia saa 5-12 asubuhi. Hivyo kutokana na Majukumu haya muda wangu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.