kuondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Afisa Mteule Drj 2

    Nitumie nini kuondoa kutu kwenye hivi vyuma

    Ni vyuma vya pelleting machine vimeshika sana kutu hivyo nataka kuvirudisha kwenye hali yake ya kawaida
  2. M

    Nini kifanyike kuondoa kero ya kukatika umeme mara kwa mara?

    Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote: 1. Maji kupungua bwana la mtera 2. Kukosekana kwa mvua 3. Hitilafu ya mitambo 4. Mitambo kufanyiwa...
  3. Mpigania uhuru wa pili

    Zifuatazo ni njia za kuondoa machawa

    Tunafahamu machawa wamekua wengi na wanazidi kuongezeka zifuatazo ni njia za kuwaondoa machawa;- Kuondoa wakuu wa wilaya Watu wengi wanakua machawa kwa matarajio kwamba watapata ukuu wa wilaya, kuondoa nafasi ya wakuu wa wilaya ni moja ya njia ya kupambana na tatizo la uchawa Rais kutokuchagua...
  4. Erythrocyte

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
  5. Clark boots

    Ni dawa gani ya kupaka(Tube)inayosaidia kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo hutengeneza utando mweupe.

    Habarini jamani.. Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani. Kama umewahi kukutanana hizi chunusi/mashimo mwenzangu ulipona kwa dawa gani..?
  6. J

    Rushwa hushusha Ubora wa Elimu na Kuondoa Ari ya Wanafunzi Kusoma

    Ufisadi unaharibu ubora na upatikanaji wa huduma za elimu kwa kuvuruga upatikanaji wa elimu. Inawaathiri sana maskini, wakiacha watoto wanaokabiliwa na changamoto kutegemea huduma duni za elimu ambapo elimu kidogo inaweza kufanyika. Ina athari mbaya katika sehemu zote za elimu, kutoka...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa vijana: Hivi ndivyo nilivyofanya kuondoa aibu kufanya kazi duni ili nipate kipato

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilikuwa nasababu kuu tatu za kunifanya nizionee aibu kazi ambazo wengi huziona Duni. Sababu ya kwanza, ni Malezi na makuzi. Nimelelewa na kukuzwa kwenye familia ya Wasomi wa kati, wote walikuwa wafanyakazi wa serikalini. Mtazamo wao kuhusu maisha ni kusoma...
  8. J

    MJADALA: Nini kifanyike kuondoa Uhaba wa Sukari kuendelea kujirudia kila mwaka Tanzania?

    Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
  9. mdukuzi

    Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

    Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985. Ilikuwa hivi: Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar, Thabit Kombo, Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka...
  10. mtwa mkulu

    Hili la NHIF tunaomba mturuhusu kuondoa makato ili tukope

    Wandugu, Hospitali za private zimesitisha huduma kwa wagonjwa wanao katwa mishahara yao kila mwezi na mfuko wa NHIF. NHIF nayo leo imetangaza kusitisha mkataba na hospitali ya agakhani na TMJ. Bila shaka madhira ni makubwa sana kwa wafanyakazi. Ombi langu: Kwa kuwa huu mfuko sasa hautusaidii...
  11. peno hasegawa

    Wizara zenye matatizo ambazo ninahitaji mabadiliko au kuondoa viongozi wake wa juu

    Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka: 1. Waziri wa afya na Naibu wake. 2. Waziri wa fedha 3. Waziri wa Tamisemi 4. Waziri wa Nishati (Doto) 5. Waziri wa Maliasili na utalii 6. Waziri Madini 7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu) 8. Waziri wa uchukuzi
  12. Mjanja M1

    Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
  13. MK254

    Shughuli zaanza kuondoa raia Rafah, ambayo ndio ngome ya mwisho ya HAMAS

    Hapo Rafah ndiko wamekimbilia wote pamoja na uongozi, panahitaji usafi kwa mabomu.....raia waondoshwe ili kuepuka lawama za kupelekana ICJ........... Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has ordered the military to prepare to evacuate civilians from the southern Gazan city of Rafah ahead...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  15. LIKUD

    The problem of evil and jealousy solved. ( Suluhisho la kuondoa tatizo la wivu na husda duniani)

    Wakati akina mwenzangu na Mimi bado wapo gizani waki ji stress kutafuta hela za kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za English Mediums ili waje wapate ufaulu mzuri secondary ili wafike Chuo kikuu ili wakimaliza Chuo kikuu wawe marketable kwenye soko la ajira ( a very stupid mission), akina...
  16. A

    DOKEZO Sinza kila nyumba ni kama JALALA. Walioshinda zabuni ya kuondoa taka/uchafu ni kama wameshindwa

    Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka majumbani kwa ukamilifu. Tangu mwezi wa 11 mwishoni 2023 hadi leo kuna maeneo mfano Sinza c uchafu...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makandokando na kujenga mshikamano

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  18. DON YRN

    Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

    Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
  19. O

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali. Kwa sasa hivi nilikuwa natumia...
  20. Analogia Malenga

    Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
Back
Top Bottom