kuondoka nyumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kuondoka Nyumbani kwenda kupanga, Hofu inanirudisha nyuma. Nifanyaje?

    Kila ninapofikiria kuondoka nyumbani na kuanza maisha yangu mwenyewe, huwa najikuta kuna hali fulani inanijia kama hofu hivi. Kadri siku zinavyosogea na mpango wa kuondoka nyumbani unavyokaribia, mawazo huanza kubadilika. Naanza kufikiria changamoto zitakazonikabili—gharama za maisha, majukumu...
  2. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kuondoka Nyumbani Mapema: Ni Uamuzi wa Busara au Kudai Uhuru wa Kijinga?

    Siku hizi, kuna mjadala mzito kwa vijana: "Kaa nyumbani mpaka ujiweke vizuri kifedha au ondoka mapema ili upambane na maisha?" Wazazi wetu walikuwa wanaheshimu sana mfumo wa mtoto akae nyumbani mpaka aolewe/aoe au mpaka ajenge kwake. Lakini kizazi cha sasa? Mtu akishapata mshahara wa kwanza au...
Back
Top Bottom