Kila ninapofikiria kuondoka nyumbani na kuanza maisha yangu mwenyewe, huwa najikuta kuna hali fulani inanijia kama hofu hivi. Kadri siku zinavyosogea na mpango wa kuondoka nyumbani unavyokaribia, mawazo huanza kubadilika. Naanza kufikiria changamoto zitakazonikabili—gharama za maisha, majukumu...