kuondolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jagular

    Arusha imekuwa safi baada ya vibanda kuondolewa barabarani

    Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu. Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
  2. Komeo Lachuma

    Hili suala la Wamachinga kuondolewa pembezoni mwa barabara linatupa wakati mgumu zaidi. Tumesimama katikati

    Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea. Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu. Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia...
  3. F

    Uamuzi wa kuwaondoa Machinga mitaa ya Dar es Salaam urejewe upya

    Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya. Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
  4. M

    MD REA amepeleka umeme vijiji vingi, nini sababu ya kuondolewa?

    Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je...
  5. D

    Wamachinga wa Mwenge Vinyago kuondolewa

    Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
  6. B

    Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

    Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength...
  7. S

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imependekeza Jerry Silaa kuondolewa kwenye Bunge la Afrika (PAP) na kutohudhuria vikao 2 vya Bunge

    Jerry Silaa KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili huo na kupendekeza asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili mfululizo, pamoja na kuondolewa uwakilishi wa Bunge katika Bunge la Afrika (PAP)...
Back
Top Bottom