kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wakuu? Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills. Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
  2. Ombi la kuruhusu wafungwa kuongea kwa simu wakiwa Gerezani

    Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
  3. Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

    Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu. Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani...
  4. Kuongea kwa kukandamiza siyo ushamba bali KARAMA hivyo WASUKUMA tueleweke vyema

    Amani iwe kwenu watanzania wote Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa Watanzania wengi...
  5. Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

    Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka; "...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu. Je, ni nani hao...
  6. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  7. Mi napinga Maria Sarungi kuongea kesho Januari 13

    Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock. She should wait for the right time. She is in a foreign country. Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania. She could wait until NEXT Monday. Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories...
  8. Lema awaandikia Waraka mzito Mbowe na Lissu. Kuongea hivi karibuni

    Hakika ni Waraka wa kutisha wa Mtume Lema kwa Mbowe na Lissu. Muhimu nilichoelewa mimi, Lema amesema ana muunga mkono Tundu. Jisomee mwenyewe;
  9. M

    Mpango wa kuongea na Ibenge wapate sare umeanza, shame on you

    Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa. Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu. Mechi ni sare, believe me or not
  10. Ili TBC wawe mubashara lazima wajue unachokwenda kuongea. Mbowe kapewa ya kuongea na waliolipia TBC

    Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe. Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
  11. Kampeni za Harris Kamala zimetuonyesha nani wa kuongea naye wakati wa kampeni

    “There’s just no value — with respect to my colleagues in the mainstream press — in a general election, to speaking to The New York Times or speaking to The Washington Post, because those [readers] are already with us,” deputy campaign manager Rob Flaherty said during an extensive interview with...
  12. Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

    Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League. Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo...
  13. Bora tutumie Lugha ya Kiingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa

    Mfumo wa Serikali upo kwa Kingereza. Documents za Serikali zipo kwa lugha ya kingereza. mimi kwa mtazamo wangu ni Bora tutumie Lugha ya kingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa. Tuachane na Kiswahili. Lugha ya Taifa ikiwa kingereza, tutakua tumepiga Hatua kubwa sana kwenye mawasiliano Duniani kote...
  14. Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

    Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
  15. Offen Chikola: Nyota wa Kandanda anayeng'ara ndani na nje ya Uwanja

    Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida. Anajulikana kwa kuwa mtulivu na mwenye akili timamu, iwe uwanjani au nje ya uwanja.
  16. Maswali mengi yaibuka baada ya kupotea kwa mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe. Mkewe asimulia kilichotokea. Jeshi La Polisi latoa tamko!

    Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya tukio, Vicent alidai kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kupoteza mawasiliano. Vicent...
  17. Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  18. T

    Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
  19. Kamanda Muliro: Ndio maana sitaki kubishana, Jeshi la Polisi ndio lilimuokoa Sativa kule Katavi!

    Wakuu, Mnakumbuka ile clip ya Sativa baada ya kupatikana kule Katavi na akiwa amezungukwa na wananchi ambao ndio walijitolea kumpeleka hospitali na kuhakikisha anakutana tena na familia yake? Kama utakuwa hujaona hiyo clip, nimeiweka hapo chini. Ni clip inayomuonesha Sativa akiwa amezingirwa...
  20. Bakita iandae utaratibu wa kutoa taarifa kwa Wananchi walau mara moja kwa mwaka.

    Moja ya sifa ya lugha yoyote duniani ni pamoja na lugha hiyo kukua.Hujitokeza misamiati,nahau mpya au hata baadhi ya maneno kuchepushwa kutoka kwenye maana take ya asili.Sina utafiti rasmi ila naamini kwa kizazi kilichopo sasa hivi mambo ndio yanaenda kwa kasi Sana.Hivyo basi imekuwa ni ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…