kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Viongozi wastaafu walishtukizwa kuongea na wameongea ukweli

    Nilikuwa nafuatilia mazishi ya hayati BW Mkapa tangu mwanzo hadi mwisho. Niliona jinsi ambavyo rais wetu alivyo mtaka rais wa Zanzibar kuzungumza na wananchi wa Masasi na Shein alionesha kushtuka kwa hilo kwani hakuwa amearifiwa lakini alikwenda. Pia akafuata Kikwete na baadaye Mwinyi. Wote...
  2. J

    Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa. Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania. Pia...
  3. Justine Kakoko

    Mbinu 20 za kumfanya mtoto aweze kuongea mapema

    1. Kujiongelesha mwenyewe. Jiongeleshe mtoto akiwa karibu juu ya mambo unayoyafanya. Mfano, naosha vyombo sasa, napika chakula, nafagia nyumba. 2. Simama, mpe mtoto muda wa kujibu. Unapozungumza na mtoto, kaa kimya, mpe nafasi ya kujibu. Akishindwa kujibu msaidie kujibu kisha mtake arudie...
  4. SN.BARRY

    Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  5. Analogia Malenga

    Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  6. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  7. S

    Urais 2020: Msigwa kuongea na waandishi wa habari Jumapili ya Juni 14 mjini Dodoma

  8. Influenza

    Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

    Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu. Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
  9. Petro E. Mselewa

    Kuuliza si ujinga: Katika ugo wa kisiasa hapa Tanzania, 'Mabeberu' ni akina nani hasa?

    Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'. Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa. Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawafurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za...
  10. K

    Nashauri: Viongozi msishindane na Mbowe kwenye kuongea

    Mimi naona hawa viongozi wanajaribu kushindana na Mbowe kwenye kuongea hawawezi kushinda na sio mbinu nzuri sana. Kila binadamu ana kipaji chake na Mbowe bahati yake Mungu kampa kipaji cha sauti nzuri, kujua kuongea na kusikilizika. Wengine wamepewa vipaji vya akili, wengine vipaji vya...
  11. JM3

    Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

    Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay. Mkutano huu umehairishwa baada ya M/ kiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati...
  12. J

    Siasa kwenye Corona ni matokeo ya zuio la mikutano ya vyama vya siasa, wanasiasa wana " kiu" ya kuongea chochote wajulikane uwepo wao!

    Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5. Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa. Hii haina afya...
  13. beth

    Wanandoa waliokamatwa kwa kuongea uongo kuhusu Corona wafikishwa mahakamani, waachiwa kwa dhamana

    Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
  14. Return Of Undertaker

    Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu... Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu. Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
  15. Mshana Jr

    Wanaoongea peke yao wanazidi kuongezeka

    Maisha yana maajabu mengi na mojawapo ni hili la watu kuongea pekeyao achana na mazungumzo ya kimya achana na mawazo ya kawaida hiki ni kitu kilichojengwa katika wizara nyingine kabisa wizara ya mawazo halisia. Sio wendawazimu sio vichaa hawajarogwa hawajalewa ni watu wana akili zao timamu na...
  16. ngoshwe

    Hata akinunaje ataongea tu...

    Tulianza vibaya mwaka mpya na Ma msapu. Kisa kidogo tu nilimwambia sitoweza kumsaidia jambo ambalo yeye aliona ni muhimu nami nikasema sio kama vipi nipe muda.Alikasirika akaniambia hiyo ndio tabia yangu kwake na ananijua lakini ingekuwa mwingine ningempapatikia. Haikunipendeza lakini...
Back
Top Bottom