Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam.
Wote mnakaribishwa.
Muhimu : Fuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi.
Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa.
Wote Mnakaribishwa.
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.
Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
Rejea kichwa cha habari juu.
Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja...
Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa.
Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia...
Wiki moja iliyopita Rais Uhuru alienda kwenye moja ya Redio na kufanya mahojiano kwa lugha ya Kikuyu mwanzo mwisho, jambo ambalo limewaacha Wakenya wengi njia panda.
Na mijadala inaendelea kumzodoa Raisi.
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4...
Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani,
Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile biashara, masomo , mahusiano , dini n.k
Basi tuwasiliane PM,
Masomo Yetu yako kwa njia ya WhatsApp na...
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.
Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.
Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni...
Kuna wakati hawa jamaa siwaelewi kabisa yaani kwenye hii Airtel Money, ukinunua luku wanakuletea tu kuwa malipo yako yamefanyika bila kuleta balance ya akaunti yako baada ya muamala huo kufanyika. Ukitaka kufanya muamala kama salio halitoshi wanakutumia msg salio halitoshi bila kuonyesha salio...
Nimekutana na hii habari. Mimi bado nina maswali mengi
=====
Kijana aliyefariki tangu mwaka 1994 amepatikana na kukukutana tena na familia yake
Mama yake amemtambua na kujiridhisha kuwa ni mwanaye baada ya kutambua baadhi ya maeneo ya mwili wake
Kijana huyo hana uwezo wa kuzungumza kwa sasa...
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni.
Wote Mnakaribishwa.
HELLO
Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno.
Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe...
Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea.
"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential...
Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi.
Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria.
Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
Huyu jamaa Hana lolote la kutuaminisha, aache kuongea ongea, tunajua bhana how life goes, alichokifanya JPM Kila moja anajua bhana, kanunua midege, kajenga barabara za mtaa, kajenga majengo ya vituo vya afya bila watendaji kazi, SGR na bwawa la umeme, japo mpaka sasa 80% ya Watanzania...
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!
John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi.
=====
MNYIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.