kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    Kwenye majukwaa ya kimataifa, Rais Samia atumie akili ya ziada na welevu kujadiliana na kuongea

    Katika majukwa ya kimataifa kuna masuala mengi huwa hayapaswi kuzungumzwa au kauli tata kutolewa hadharani. Majukwaa ya kimataifa ni pamoja na majadiliano na waandishi wa habari wa kimataifa, vikao vya wazi na viongozi na taasisi mbalimbali, makongamano pamoja na mikutano mikubwa na midogo, iso...
  2. Nyendo

    Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    FID Q asilaumiwe, hana Verbal intelligence

    Kwema Wakuu Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri. Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
  4. figganigga

    Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

    Salaam Wakuu Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili). Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha. Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa...
  5. M

    Je, Mwanasiasa anayepatia Kiingereza cha Kuandikiwa tu ila Kuongea anaogopa na Yule anayekichapia ila haogopi Kukiongea nani ni Bora?

    Majibu yenu Great Thinkers ni Muhimu.
  6. sky soldier

    Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
  7. Mbahili

    Uhuru wa kuongea na kujieleza

    Habari za asubuhi wana jamii.. Kuna jambo naomba kuuliza ama kushirikishana na nyie.. Naomba nianze kwa stori kidogo.. 1. Siku moja nilikuwa napiga story mbili tatu na mzee flani mtaani. Tuliongea mengi hasa siasa, kuna baadhi ya section nikijaribu zungumzia anasema, kijana nyamaza usiskike...
  8. BabaMorgan

    Kadri unapopata fursa ya kuongea muda mrefu ndivyo unajiweka katika hatari ya kuongea vitu visivyo na mantiki

    Ushawahi kumsikiliza mtu na ikatokea ukasikia kitu ambacho hukutarajia kabisa kukisikia kutoka kwake bila ya kujali ni kizuri au kibaya pengine ulikuwa unamsikiliza mtu ambaye unamheshimu ila ghafla akaongea maneno ambayo yakakufanya uhisi aibu kwa niaba yake na kubaki kutoamini kuwa yametoka...
  9. FRANCIS DA DON

    Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  10. Sky Eclat

    Mnaweza wote kuongea lugha moja na msielewane

  11. W

    Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

    PIA, SOMA: - Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
  12. William Mshumbusi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

    Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
  13. Sky Eclat

    Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika. Huyu hapa pichani anakereka kumuona mke wake ana chart kwenye simu, anashindwa kumwambia hisia zake amebaki kujikunyata huku...
  14. adden

    Ni kero kubwa sana kwangu mtu kuongea na mimi huku ananigusa au kunisukuma...

    Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu.. Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
  15. K

    Nafundisha Kiingereza (kuongea na kuandika)

    Ikiwa una uhitaji wa kujifunza kiingereza kwaajili ya matumizi yako ya kila siku na katika masomo suluhisho hili apa. Utajua Vocabulary (msamiati), grammar na utafanya mazoezi na mwalimu mahiri kabisa. Zaidi, tuwasiliane kwa 0752 802 513 (normal) 0689 158 842 (WhatsApp &normal) "The...
  16. K

    Natafuta kazi ninaweza kusoma, kuandika na kuongea lugha ya Kireno

    Habari ndugu zangu, Hope mko poa na majukumu ya kazi. Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno. Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina...
  17. U

    Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  18. Linguistic

    Watu wanaojiita maarufu wanalazimisha kuongea kingereza

    Mabibi na Mabwana, msikilizeni Mr. Uchebe X Wake Shilole akiongea Kingereza. Kwa nini wanapenda kuongea Lugha ambayo Hawaiwezi?
  19. Nawatania

    Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  20. JACKLINE CELESTINE KITALE

    SoC01 Kwanini vijana wengi wana uoga wa kuongea mbele ya watu (public speaking)?

    “According to most studies, people’s number one fear is Public speaking. Number two is death. Death is number two. Does that sound right? This means to the average person, if you go to a funeral, you’re better off in the casket than delivering the eulogy.”- Jerry Seinfeld, Comedian. “ Kutokana...
Back
Top Bottom