Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo
Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi...