Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia leo October 30 hadi 01 November 2023 ambapo mbali na kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, Rais huyo anatarajiwa kuonana na kuzungumza na...
Salaam!
Hakuna jambo baya kama ushabiki au ufuasi katika dunia hii ya leo. Tumeshuhudia wengi wamefariki, wamejeruhiwa na kupoteza heshima kwa jambo linaloitwa itikadi, dini na siasa, imekuwa ni changamoto kubwa katika dunia yetu.
Nakuomba uhubiri amani kama ilivyo jinsia yako na lea kila...
Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi.
Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza.
Hii ni kata ya...
Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake.
Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
Dar es Salaam, Agosti 22, 2023
Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi.
Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu
wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom...
Leo kulikuwa na usaili unafanyika katika taasisi fulani kubwa ya Marekani, vijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo.
CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa...
Naisi maumivu nikiongea kooni. Ni hospital gani mzr ya koo au ni daktari gani mzr wa koo. Ni mwaka sasa naumwa huu ugonjwa! Naitaji msaada hata mwenye anajua dawa mzr ya asili aniambie.
Wakili Peter Madeleka,Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel,Makumbusho,Dar es Salaam.
Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner.
Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto
Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa.
Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi
Vodacom: unajiunga shiling 50...
Huyu mwehu anajua kama ujumbe huu anawafikishia watu wengi sana nchini? Asilimia kubwa ikiwa ni hawa mashabiki wa Yanga wanaopambania kuingia bure uwanjani kwa kukosa elfu tatu.
Wengine ni majeruhi hadi leo na wengine wamepoteza uhai kwa ajili ya Yanga yao halafu yeye anatoka mbele waziwazi na...
Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea.
Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua?
Hivi huyu hana management?
Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
Hili swali naulizwa sana,
“nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa.
Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa.
Wengine wakaniambia
…haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu...
Kama hujamfata kuongea naye.
Kama hupeleki mahusiano mbele.
Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka.
Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa.
Zile sababu kama “atakua bize”/ “atakua na mtu wake”/ “mi sitokagi na wanawake aina yake”/ “sina mstari...
Niko nashuhudia hapa huyu msemaji wa Yanga akikabidhiwa pesa za mheshimiwa Rais km ahadi yake ya Kila goli, haya maneno anayoongea kuhusu wapinzani wao Simba siyo ya kizalendo. Yani Hana utofauti na yule mtangulizi wake aliyepigwa ban na TFF.
Hivi hawa wasemaji wasipotoa maneno ya shobo huwa...