Mwalimu ni mimi na AI from ChatGPT.
Binadamu kufanya jambo fulani ni msukumo kutoka kwenye mwili wake au akili yake.
Milango mitano ya fahamu
pua
macho
masikio
ngozi
ulimi
Milango hii ikiguswa yote kwa pamoja kwenye jambo unalolifanya ni rahisi kuingia kwenye urahibu (addicted) ambao ni mgumu...