Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu.
"Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu"
IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla.
Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani na mifumo ya uchaguzi nchini.
Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia...
Hili la NHIF na hospitali binafsi limeonesha uwezo mdogo wa kutatua matatizo alionao waziri wa afya pamoja na huyo bosi wa NHIF.
NHIF ina changamoto kuu mbili
1. Matumizi makubwa ya fedha kwa shughuli za kuendesha ofisi, hata ripoti za CAG zimeonesha namna wanavyotumia fedha hovyo.
2...
1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule.
2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni...
Si mchezaji mbaya, ila kuna mambo kadhaa anayoyakosa na kumfanya kuwa inexperienced player, ila kama angeweza kuongeza juhudi huenda angeonja ladha ya michuano mikubwa ya CAF pengine kutwaa japo medali moja. Si mchezaji anayeweza kuchukua position nzuri anapokuwa ndani ya 18, hata mashuti ya...
Kituo cha mafuta ni biashara muhimu inayotoa huduma muhimu kwa jamii. Ili kuongeza mauzo na kufanikiwa katika soko lenye ushindani mkubwa, ni muhimu kuchukua hatua za kimkakati. Hapa, tunajadili jinsi ya kuongeza mauzo haraka kwenye kituo cha mafuta kwa kuzingatia mbinu za ubunifu na ufanisi...
UFAFANUZI WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA, KUHUSU HOJA YA HOSPITALI ZA SERIKALI KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KUONGEZA MAKALIO NA MATITI ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 14 FEBRUARI 2024 VIWANJA VYA BUNGE DODOMA
Ndugu Waandishi wa Habari, asanteni kwa nafasi hii...
MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa (CCM), ndiye aliyeibua zogo bungeni jijini, alipotoa hoja kwamba MNH-Mloganzila imeanzisha huduma hiyo...
Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe.
Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
Huruhusiwi kuongeza mke
Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,
Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza...
Hakuna sehemu yoyote ambayo Mungu alikataza hata manabii ama wafame waliomtumikia kuoa mke zaidi ya moja, ukimya wake katika jambo hili ni sawa na sisi wazazi tunapoona mtoto anafanya mambo kwa usahihi tunakuwa hatuna haja ya kumwambia anakosea.
Ni kweli kwamba mwanaume akiondoka kwao yapendeza...
Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips.
ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA...
Habari wadau.
Ukweli nampongeza sana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni kwa kuamua kubadili shule za msingi zilizokuwa swahili medium na kwenda english medium.
Hii inawaokoa wazazi kwa kuwapunguzia gharama za ada kubwa kulipa private schools wakati elimu ni hiyo hiyo.
Na pia shule za olimpio...
Nafanya biashara ya kuuza mboga za majani za aina tofauti, kwa hali hii ya joto zinawahi kusinyaa hivyo kupoteza muonekano wake mzuri na kukosa wateja.
Nipeni mbinu ya kufanya mboga za majani zibaki fresh angalau kwa siku 3 hadi 5
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa?
Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao uhaba mkubwa wa raslimali fedha katika kutatua matatizo ya huduma za afya, mfano leo ni zaidi ya...
Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu.
Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti.
Demi ambaye alikua Mkazi kutoka Jiji la Manchester alipata mshtuko wa moyo saa chache kabla ya kuanza safari yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.