Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali.
Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi.
Viongozi wanafanyia kazi habari za...
Anonymous
Thread
busara
hawana
kuongoza
taasisi
umma
viongozi
watumishi
watumishi wa umma
wengi
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria.
Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
Utawala gani wa kisiasa wa kuongoza watu ambao ni sahihi unaotakiwa na Mungu kati ya Demokrasia na Udikteta kulingana na maelekezo ya dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu?
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious.
Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo.
Mambo yanaendelea...
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness inakutanga moyoni!
Nani akuamini?
c&p
Guilty consciousness is haunting you Lisu!
A guilty conscience...
Kwa miaka ishirini na moja, umetutumikia,
Katika dhoruba na mawimbi, haukutetereka,
CHADEMA umekijenga, ukakifanya ngome,
Freeman Mbowe, bado tunahitaji huduma zako.
Busara zako ni taa, zinazoongoza njia,
Uadilifu wako ni chemchemi ya tumaini,
Kwa haki na usawa, umetufunza kupigania,
Mbowe...
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa kisiasa
Mwabukusi amewataka Chadema watuonyeshe huo Muafaka wa kitaifa
Ni Ukurasani X
Anaanza kwa...
Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo...
Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa.
Tundu Lissu...
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa .
Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
Mpo salama!
Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.
Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?
After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.