kuongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mfianchi

    Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  2. JERUSALEM 2006

    Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

    A. UTANGULIZI Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
  3. Replica

    FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  4. T

    Naona mwanamke ndio anafaa kuongoza Bunge linaloendana na Rais Samia Suluhu. Tunao Gaudencia Kabaka, Anna Mghwira n.k

    Kiu ya Rais wetu ni kuona Bunge linajadili vitu kwa upana na kwa kuwa bunge chini ya Spika Ndugai anaonekana kuzidiwa lakini anashindwa kusema asaidiwe kwa sababu Mhe. Rais anapenda kuona kuona wanaozidiwa wanaomba kusaidiwa lakini hafanyi hivyo basi kwa niaba yake tunaomba Mhe. Rais msaidie...
  5. U

    Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
Back
Top Bottom