Pendekezo langu kwa nchi yangu ni kuwa. Ili kuwa kiongozi wa nchi. Ni lazima utimize masharti haya
Cha kwanza unatakiwa uwe na kiasi cha dollars milioni 5+
Unatakiwa uwe na biashara halisi ambayo inakuingizia pesa Izo. Kwa ufupi uwe mfanya biashara ambaye una mafanikio
Ndo tunakupa nchi...