kupambana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FATHER OF REALITY

    #COVID19 Je, Tanzania ilifaulu au ilifeli kupambana na COVID-19

    Nilizingatia msimamo tuliokuwa nao COVID-19 ilipoingia nchini kwa mara ya kwanza, nilikuwepo wakati wa wimbi la pili la maambukizi, na nashukuru pia nipo kipindi hiki cha wimbi la tatu la maambukizi na hatua zinazochukuliwa. Najiuliza je, tulifaulu au kushindwa awamu ya kwanza ya COVID-19, na...
  2. Mzee Mwanakijiji

    #COVID19 Tanzania Itafute Mbinu Bora ya Kupambana na COVID19

    Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata chanjo tayari tuanze kurudi kuvaa mabarakoa tukiingia sehemu mbalimbali. Kuna hofu hapa kuwa namba...
  3. Leak

    #COVID19 Rais ulifanya makosa makubwa kuifanya chanjo kuwa hiari, ulipaswa kukubaliana na Mbowe kuwa chanjo lazima ili tuweze kupambana na Gwajima

    Wasalaam wana jamvi. Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale alipotangaza ujio wa chanjo hiyo kwani ingesaidia sana kupambana na watu wanaopinga chanjo hiyo. Nakumbuka...
  4. Omerta

    Maamuzi ya kikao cha wanaume: Namna ya kupambana na moto

    ..................
  5. Kasomi

    SoC01 Serikali inavyoweza kupambana na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kwa sasa imekumbwa na Wingi wa vijana ambao hawana Ajira hii inatokea kwa sababu ajira zilizopo ni chache na wasomi wanao tegemea ajira wao wakiwa wengi. Hivyo tatizo la ukosefu wa ajira ndipo linapo chipukizi. Sababu zinazo fanya kuwepo na vijana wengi...
  6. L

    #COVID19 Huu sio wakati mwafaka kwa Ulaya kulegeza hatua za kupambana na COVID-19

    Wakati baadhi ya nchi zimekuwa zikipambana na wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19, na zikiendelea na juhudi za kutoa chanjo kwa watu wake, baadhi ya serikali zimekuwa zikitafuta kila njia ya kurudisha hali ya kawaida, bila hata kuzingatia tahadhari zinazotolewa na wataalamu wa afya. Hali hii...
  7. L

    Haja ya kurekebisha baadhi ya sheria ili kuongeza ufanisi wa kupambana na magonjwa ya mlipuko

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko. Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
  8. L

    China itaendelea kushirikiana na Afrika kupambana na malaria baada ya kuidhinishwa na WHO kuwa nchi isiyo na ugonjwa huo

    Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
  9. M

    Hivi Serikali ipo serious kupambana na Delta variant (Corona 3)?

    Hivi Serikali yetu ipo serious kupambana na ugonjwa wa Delta (Indian variant)yaani corona 3? Wenzetu,ndugu zetu Waganda,DRC,Rwanda Serikali zao zimechukua hatua kali na madhubuti kukabiliana na huu ugonjwa hatari. SINA HAJA YA KUANDIKA MENGI,WENZETU WAAFRIKA WANATEKETEA HASA UGANDA NA...
  10. wazanaki

    Stori za Waafrika na vitu tunavopambana navyo kwa jicho la tatu

    Aina za ugomvi kwa Afrika 1. Kuna ugomvi mkali sana kati ya nchi kubwa (super power) ex. China vs Europe kuigombania Africa 2. Kuna ugomvi mkubwa wa ndani ya nchi kati ya puppets wa mabeberu na wazalendo 3. Kuna ugomvi mkubwa sana kati ya wanaofaidika na uongozi na ambao hawafaidiki na uongozi...
  11. Elitwege

    #COVID19 Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

    Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii? Bwana...
  12. Replica

    #COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM. Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho...
  13. P

    Tanzania hatujawahi kulala njaa kwa kukosa mkopo dhidi ya COVID-19, woga na tamaa ndiyo itakayotumaliza

    IMF imeitega Tz Kwa kutaka kuipa mkopo wa kupambana na C - 19 na kuielekeza jinsi inapaswa ifanye ili ipewe huo mkopo Ok, pale mwenye nacho anapotaka kumyang'anya zaidi mwenye kidogo, na Masikini Mtu jasiri akitaka kurogwa na Mchawi huanza kwa kutishiwa tishiwa, mara sijui kesho hutaiona...
  14. L

    Ni bora kutumia njia nyepesi kupambana na corona kabla hatari kuwa kubwa na kulazimika kutumia njia ngumu

    Janga la COVID-19 limesababisha vifo vyamaelfu kwa mamilioni ya watu nchini China naduniani kwa ujumla, na hadi sasa ugonjwa huubado unaendelea kusomba maisha ya watu katikanchi mbalimbali ambapo serikali zimeghumiwana kutojua la kufanya kutokana na kuzidiwa amakushindwa kuudhibiti kwa urahisi...
  15. D

    Makamanda wa Polisi kupambana na ujambazi kwa maelekezo ya wanasiasa inakupa tafsiri gani?

    Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
  16. Naanto Mushi

    Nisaidieni mbinu za kupambana na huyu jirani 'mwizi wa umeme'

    Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha. Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku...
  17. Masokotz

    Endelea kupambana mpaka uone matokeo

    Kwa aina ya kazi na majukumu ninayofanya na pia kwa utashi wangu binafsi huwa naona na familia yangu hasa watoto kwa nadra sana.Pamoja na kwamba huwa tunaonana kwa nadra mimi na watoto wangu tumejifunza namna bora ya kutumia muda mchache tunaokuwa pamoja kikamilifu.Nipatapo nafasi huwa nawapigia...
  18. Analogia Malenga

    Mabondia wanne wa Tanzania wamewasili Urusi kupambana akiwemo Dullah Mbabe

    Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda. Dullah Mbabe atapambana na Pavel Silyagin kuwania ubingwa wa Asian Pacific mkanda wa WBO. Twaha Kiduku atapambana na...
Back
Top Bottom