kupanda bei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    KITIMOTO KUPANDA BEI WAKATI WA MFUNGO MNATUAMANISHA NN 11000-15000..SERIKALI MTUSAIDIE

    Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
  2. A

    KERO Morogoro Mjini: Baadhi ya maduka vocha zinauzwa bei za juu kiholela (mtaa wa Falkland)

    Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=. Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine hivyo wenye maduka kutumia fursa hiyo kuongeza bei za vitu kiholela...
  3. S

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Habari wanajamvi, Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20, This is daylight robbery and no one care. Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
  4. Edson Eagle

    Sintofahamu vocha kupanda bei

    Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?🤔
  5. stakehigh

    Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran

    Oil and gold prices have eased after Iranian authorities appeared to downplay reports of an attack from Israel. Brent crude, the international benchmark, fell after jumping briefly to over $90 a barrel after reports emerged of an attack. Gold briefly came close to a record high before settling...
  6. Greatest Of All Time

    Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

    Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000. Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha tuisome namba eeeehhh….
  7. F

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili. Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
  8. BARD AI

    Serikali yadai uhaba wa Chuma umesababisha kupanda bei ya Misumari na Nondo

    NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa hizo. Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za...
  9. mahindi hayaoti mjini

    Wanaolalamika us dollar kupanda bei sana wachungulie hapo kwa jirani

    Jirani tu hapo leo imepiga 150 ksh kwa dollar moja, na kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi.
  10. Dr Akili

    Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  11. S

    Je, hii ni kweli au uzushi kuhusiana na bei za vocha za simu kupanda bei?

    Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa...
  12. Khroosb Musombwa

    Kupanda kwa bei ya vitu nchini DRC

    DRC vitu vimepanda bei hususani katika mji wa BARAKA. Ambapo unga umepanda kwa ghafla. ==== The current occupation of the towns of Rutshuru and Kiwanja by M23 rebels has had a severe impact on the socio-economic conditions of residents in Goma in the Democratic Republic of Congo's North Kivu...
  13. comte

    Tujiandae kisaikolojia upo uwezekano mkubwa wa mafuta ya diseli kupanda bei baada ya Saudi arabia kutangaza kukaribia kuishiwa mafuta

    “Today there is spare capacity that is extremely low,” Saudi Aramco CEO Amin Nasser says at a conference in London. “If China opens up, [the] economy starts improving or the aviation industry starts asking for more jet fuel, you will erode this spare capacity.” Nasser warns that oil prices...
  14. William Mshumbusi

    Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

    Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge. Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
  15. Emmanuel180

    Hivi Mafuta huwa yanapandaje bei?

    Binafsi hua nashangaa sana sipingani na kupanda kwa bei ya mafuta lakini hua nashangaa mchakato unavokua Mara nyingi EWURA ndio hutangaza bei mpya lakini sijawahi kuona wakitangaza bei mchana mpya wanatoaga taarifa USIKU wa manane asubuhi unaamka unaambiwa tu mafuta yamepanda unaenda kununua...
  16. Gulio Tanzania

    Tunakabiliana vipi na Hali ya bidhaa kupanda bei?

    Jambo hili nimeanza kuliona mwisho wa mwezi huu kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na kwenye biashara yangu pia tayari zaidi ya 50% bidhaa nazojumua siku zote kwa sasa bei ni kubwa mno faida kiduchu mauzo nayo yamepungua Sana.
  17. JanguKamaJangu

    Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  18. Internet-Money

    Intaneti imezidi kupanda Bei

    Jana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache. Yote haya Ni kwa sababu upinzani wa Rais upo mtandaoni. Hili balaa lilianza Baada ya huyu Rais kuingia madaraki. Kutokana na kusemwa sana akaanza...
  19. Replica

    UCHUMI: Inawezekana kupanda bei ya mafuta ya kula ikawa jambo jema

    Leo nimepita maduka kadhaa, kwenye shelf za maduka husika yamejaa mafuta ya kula yameandikwa Singida yakiwa yametengenezwa kwa zao la alizeti linalolimwa sana Singida. Hii imetokana na bei ya mafuta mengine kupaa hivyo watumiaji na wafanyabiashara kuamua kuhamia Singida, bei ya mafuta kutoka nje...
  20. D

    Karatasi (Ream paper) kupanda bei hadi Tsh 20,000/=, Itaongeza ugumu wa elimu Tanzania

    Bei ya karatasi kwa Rimu reja reja ilikuwa 7000~12000/= Hivi sasa Bei imepanda ghafla bei ya Reja reja ni 18000~25000/= Je wizara ya elimu haioni kwamba hili litachangia kuongeza ugumu wa elimu kwa watoto wetu endapo gharama za uchapaji na ufundishaji zitaongezeka kutokana na kupanda kwa bei ya...
Back
Top Bottom