kupanda bei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naanto Mushi

    Madhara ya kupanda bei kiholela kwenye uchumi na namna mfumo wa kiutawala wa Tanzania unavochangia uwepo wa hili tatizo

    Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
  2. B

    Serikali izingatie haya ili bei ya mafuta nchini ishuke

    SERIKALI IZINGATIE HAYA SAKATA LA KUPANDA BEI YA MAFUTA NCHINI ILI YASHUKE. Na Bwanku M Bwanku. Jana Ijumaa Mei 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua Vita ya Urusi na Ukraine ilivyopaisha Sakata la Kupanda kwa Bei ya Mafuta kwenye Soko la Dunia kulikoathiri Bei...
  3. ommytk

    Wenye nyumba kupandisha kodi je hii nayo inaenda na kupanda bei za mafuta?

    Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
  4. T

    Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  5. B

    Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda?

    Wananchi tuna sababu ya kuwa na mashaka. Diesel na Petrol soko la dunia bei ikipanda serikali inapandisha bei, kwetu vilio. Kumbe hata tozo ya 100/- tuliyoaminishwa, haikuwahi kuondolewa. Hivi vipi kuhusu bei ya dhahabu tunayozalisha ambayo bei yake nayo imekuwa ikipanda mfululizo? Kwanini...
  6. Nyendo

    Kupanda bei za bidhaa ni kaa la moto kwa wenye vipato vya chini

    Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza kuwa hata mara mbili ya bei ya awali uliyonunua kipindi cha mwisho. Jambo hili linafanya maisha kuwa...
  7. Stroke

    Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  8. M

    Wakulima wa Tanzania hamko serious na Kilimo, Yaani Ng'ombe anatoa kilo 25kg za kinyesi kwa wakati mmoja na bado mnalia kwa kupanda bei mbolea ya YARA

    Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana. Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
  9. Iwensanto

    Pamoja na kupanda bei, nyama ndiyo bidhaa inayonunuliwa zaidi

    Habari wana jamvi katika utafiti wangu bao siyo rasmi nyama imeendelea kuwa ni bidhaa inayonunuliwa kwa wingi. Tafiti inaonesha kuwa matumizi ya mboga ya nyama yamezidi kwa sababu ni mboga ambayo maandalizi yake hayana gharama kubwa. Watu wenye kipato cha wanaweza wakanunua nyama robo kilo na...
  10. K

    Je, kuna uhusiano wa Kenya kuuza nyama Uarabuni na kupanda bei ya nyama Tanzania?

    Tulisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Kenya wamepata tenda ya kupeleka nyama Uarabuni na shehena ya kwanza ya tani 500 imeshaondoka. Kwa uelewa wangu Tanzania ndio yenye mifugo kwa wingi kuliko nchi zote East Africa, ila baada ya kupata tenda hiyo ghafla nyama Bongo ikapanda, je kuna uhusiano...
  11. Ferruccio Lamborghini

    YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  12. H

    Serikali kuachia gesi kupanda bei namna hii maana yake imeruhusu miti ikatwe maporini mpaka ichakae.

    Juzi tarehe 9 december uhuru day nimetoka nyumbani kwa uhuru na mtungi wangu wa gesi kwenda dukani kubadilisha au kujaza sijui wanavoita wenyewe nimepokewa na mdada ambaye siku zote namkuta hapo baada ya salamu akaniambia kuwa "gesi imepanda'. 'Leo nakuuzia kwa bei ya zamani ukija next time...
  13. M

    Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
  14. sky soldier

    Kisu kimegonga mfupa, views kwa wasanii zimepungua sana baada ya mabando kupanda bei

    Sote tunajua katika ukanda wa Afrika, Nchi yetu ndio ilikuwa na mabando ya bei rahisi kuliko nchi yoyote hapa afrika (sub saharan) Hii iligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa bongo flava katika sura ya bara la Afrika, Ilikuwa rahisi sana msaga sumu kupata views milioni kuliko msanii...
  15. sky soldier

    Hizi bei mpya za vifurushi, hakika vinakwenda kuangusha Wasanii

    Ilikuwa ni kawaida msanii wa bongo kupata views milioni hata kwa wasanii wa level za kati tukiachana na zile lebo 3. Ilikuwa ni kawaida msanii akiweka video intagram basi hakosi kutazamwa walau na watu laki Ilikuwa kawaida msani kupata streams kibao huko boomplay, audio mack, n.k. Yote hii...
  16. J

    Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki. Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Back
Top Bottom