Nijambo la kushangaza sana ,wananchi wanahuzuni kubwa kutokana na maisha kupanda kiasi hiki, lita ya petrol 2500, mafuta ya kula 6000 lita, makato ya simu kuongezeka,
KUNA NINI NYUMA YA PAZIA?, mtueleze wananchi kuna nini kwenye uchumi,wananchi wanawalipa mishahara ,magari mazuri na kila raha...