Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta.
Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.
Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza
Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima...
MY JOURNEY TO THE ROOF OF AFRICA
Kabla ya mwaka kuisha napenda ku share na nyie experience yangu ya kupanda mlima Kilimanjaro nitaambatanisha baadhi ya picha na video za safari yangu yote. Kama kuna watu wamewahi kupanda Mlima Kilimanjaro wanaweza ku share pia uzoefu wao.
Kampuni niliyotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.