Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...