MBINU ZA KUPANGA BAJETI
Namna matajiri wanavyopanga Bajeti zao kwanza
Kufuatilia matumizi yao.
Kuishi chini ya kipato chao.
Kuepuka deni la matumizi.
Kujilipa wao kwanza.
Kuwekeza kwa muda mrefu.
Kuweka malengo maalum.
Kuotomati maamuzi ya kifedha .
Kupunguza kodi.
Kupitia upya bajeti yao mara...
Siku ya mshahara ikifika, unahisi furaha kama umeshinda zawadi kubwa. Unajiaminisha kuwa huu mwezi utakuwa tofauti – utapanga matumizi vizuri, utaweka akiba, na hata uwezekano wa kuwekeza kidogo. Lakini baada ya wiki mbili, unajikuta unajiuliza: Hivi hela yangu imeenda wapi?
Inawezekana tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.