Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana.
Lakini...
Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje?
Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa.
NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali.
Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa.
Najaribu kufikiria kutuma...
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.
Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?
Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu...
Habari wanajukwaa,
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya.
watu wengi wamekuwa...
Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko
Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote"
Unaweze kupata kwa kupambana
Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha!
Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.