kupata mkopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Natafutwa

    Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

    Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana? Risk zake zipoje. Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
  2. Mr Why

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi ya Kuwezesha Vijana na Wanawake Kupata Mkopo wa Asilimia 10 wa Halmashauri

    Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Utaeleza mambo yafuatayo: (1) Utaeleza vitu vinavyo hitajika unapofanya maombi ya mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri. (2) Utaeleza jinsi ya...
  4. A

    Naweza kupata mkopo NMB, nina changamoto?

    Habarii ndugu zangu Wanajf, Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua. Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata. Ahsanteni Sana;
  5. monotheist

    Wapi naweza kupata mkopo wa bajaji kwa marejesho nafuu kwa siku

    Kuna taasisi nimewapigia wakanipa utaratibu wao kianzio ni milioni moja na marejesho kwa wiki ni 177,800 kwa miezi 24 haya marejesho ni gharama mno
  6. Roving Journalist

    Pre GE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  7. Bukhar 08

    Naomba kuuliza aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2015 na hajafikisha miaka 35 anaweza kupata mkopo ngazi ya diploma

    Naomba kuuliza aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2015 na hajafikisha miaka 35 anaweza kupata mkopo ngazi ya diploma
  8. OCCID Dominik

    Mnafanyaje kupata mkopo kwa haraka na ipi kampuni nzuri inayokopesha online?

    Wakuu nahitaji nikopeshwe kwenye haya makampuni ya online,nimedownload app kadhaa na kuomba najaza taarifa zooote muhimu mwishowe naambiwa nisubiri baada ya nusu saa ntajibiwa halafu inakuwa holla.. Vipi wazoefu KAMPUNI ya uhakika ni ipi na nifanye je?
  9. ministrant

    Namna ya kupata mkopo kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

    Wasalaam, Habari ya majukumu naomba muongozo wa kupata mkopo wa fedha kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii (PSSSF) kwaajili ya kukamilisha ujenzi. Hii ni mujibu wa mkataba wa mfuko huo na mteja kueleza kuwa mteja aliyechangia kwa miaka kadhaa anaruhusiwa kukopa fedha yake kwaajili ya shughuli ya...
  10. vicentmark

    Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo

    1 Programs in Cluster One Students in cluster one must be admitted in the following programs:- i. Health and Allied Sciences Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational Therapy, Physiotherapy, Clinical optometry, Dental Laboratory Technology, Orthotics & Prosthetics, Health...
  11. A

    Je, Naweza Kupata Mkopo kwa Diploma!?

    Habari za Uzima Ndugu zangu. Mimi ni Kijana wenu wa Usikivu Hafifu Nimekuja Tena. Nataka Niende Nikasome Uwalimu wa Shule ya Msingi "Primary" Nauliza Naweza Nikapata Mkopo !? MUNGU AWABARIKI.
  12. Optimists

    Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli. Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
  13. Chizi Maarifa

    Nimefanikiwa kupata mkopo wa Milioni 470 nimetenga kiasi hiki kwa ajili ya kujipongeza na watoto wakali

    Kwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji. Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi...
  14. M

    Vigezo vya kupata Mkopo CRDB Benki

    Habari za asubuhi Wanajf! Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki. NB: Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
  15. A43

    Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? 1.Cha form 4 2.Cheti cha kuzaliwa 3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda 4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE 5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
  16. LA7

    Nawezaje kupata mkopo wa milion 1.5?

    Nataka kuendeleza biashara yangu ya studio. Plan ni kununua camera na printer machine.
  17. M

    Mkopo unaitajika: Je, naweza kupata mkopo usio na riba?

    Mambo vipi wana jukwaa mko poa, wazima nyote, nije kwenye shida yangu hii, nauliza naweza kupata mkopo wa kama sh laki moja bila riba, au kama riba ipo iwe nafuu kidogo, Kuna shida naitaji kuzitatua kidogo kama kuna uwezekano nikapata mkopo, kuhusu uaminifu ndo nguzo kuu, je naweza kupata...
  18. BARD AI

    Tanzania kupata mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 353.3 kutoka IMF ili kusaidia Uchumi

    Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji. Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
  19. M

    Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

    Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
  20. G

    Ukiwa muajiriwa unaweza kupata mkopo wa Chuo Kikuu?

    Habari wanaJF. Kuna ndugu yangu ni muajiriwa wa serikali kama msaidizi wa kumbukumbu. Ana diploma ya "Records management", Anataka mwakani ajiendelee na chuo kikuu kusoma degree ya "Human resource" . Sasa anataka kujua endapo akiomba mkopo atapata? mwenye uzoefu wa hii kitu kwa miaka ya hivi...
Back
Top Bottom